radicals
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 4,411
- 6,473
ilikuaje ukamuacha binti, kijana msafi kiasi hicho? au yeye ndio alikuacha akaona sio level zake?Aisee nilikuwaga na x mmoja hivi, kwa Usafi nampa shikamoo. Anatumia sabuni clasic, zile body wash/ liquid soap, kichwani shampoo nzuri zinanukia [emoji16] sio haya ma sabuni ya vipande