Ni wanaume wangapi tunajali usafi?

Kama tayar nmeshaoa natafuta kumvutia nan tena!!
 
Aisee nilikuwaga na x mmoja hivi, kwa Usafi nampa shikamoo. Anatumia sabuni clasic, zile body wash/ liquid soap, kichwani shampoo nzuri zinanukia [emoji16] sio haya ma sabuni ya vipande
Itakuwa alikuwa msafi zaid yako ndo mana akakumwaga asee
 
according to whom?
mwanaume unatumiaje ef30 kwa ajili ya nywele ndani ya mwezi huo ni ushangazi.
mkuu umeshindwa kutofautisha usafi na ushoga
vitu vingine hapo ni ushoga
 
Mwanaume kutumia 30000 kwa ajili ya nywele huo ni ubyutifu
Mwanaume nyele kushevu ni buku moko per wiki

Fyumu 3 geto sio dampo

Swaking kila mara huu udada walahi
 
Mme
Mme wa hivyo nalainika fasta mm anapenda Usafi bana
 
Kwamba saloon nisipotumia 30,000 mm ni mchafu??? Tunaoenda saloon za kawaida 3,000 kwa huduma mara mbili au mara tatu kwa mwezi sisi ni wachafu na Perfume ni lazima ziwe tatu ikiwa moja au hakuna ni uchafuu???

Basi wengi ni wachafu hata mm ni mchafuu.
 
All in all bora mwanaume awe mchafu, kuliko mwanamke awe mchafu...

Morphology ya miil yetu inatupaa credit hata ukiwa na boxa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…