Ni wapi hapa Dar naweza kwenda kukaa tu na Laptop yangu bila kununua chochote?


Mkuu

Hilo ndio jibu la msingi kabisa! Na wanaohusika waturudishie sehemu za mandhari ya mapumziko katika jiji
 
Kando ya Barabara watamsumbua wakidhani anaiuza laptop yenyewe
 
Open space zote tumewapa wawekezani jamani kaeni nyumbani kwenu wakati tukifanya utaratibu wa sehemu nyingine
 
Very simple! nenda hapo Rugalo kuna garden nzuri iko poa sana. kuna watu tuu wanaitunza wapo mda wote watakukaribisha vzr sana tena kwa ukarimu mkubwa wa kitanzania na uta-enjoy sana
Lugalo

Not

Rugalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…