Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ndiyo tatizo la dar nalo jiji eti! Hamna hata sehemu nzuri unaweza kwenda kupumzika yaani shida tupu kila sehemu uchafu na kipindi hik cha mvua ndyo usipime ukienda coco kuchafu juz kuna thread ililetwa hapa kuhusu bomba la maji machafu kupasuka pembezon mwa ufukwe wa coco beach, dar shida tupu labla ukakae pembezoni mwa barabara ukiwa na mwavuli wako
Kando ya Barabara watamsumbua wakidhani anaiuza laptop yenyeweHili ndiyo tatizo la dar nalo jiji eti! Hamna hata sehemu nzuri unaweza kwenda kupumzika yaani shida tupu kila sehemu uchafu na kipindi hik cha mvua ndyo usipime ukienda coco kuchafu juz kuna thread ililetwa hapa kuhusu bomba la maji machafu kupasuka pembezon mwa ufukwe wa coco beach, dar shida tupu labla ukakae pembezoni mwa barabara ukiwa na mwavuli wako
LugaloVery simple! nenda hapo Rugalo kuna garden nzuri iko poa sana. kuna watu tuu wanaitunza wapo mda wote watakukaribisha vzr sana tena kwa ukarimu mkubwa wa kitanzania na uta-enjoy sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna siku nilienda nikakuta vinyesi vya mbwa.