Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,186
- 1,966
Uko sahihiSehemu nzuri, salama n.k kwa bajeti hii ni nyumbani kwako(No offense).
Hapo usafiri kufika na kuondoka sehemu ya sifa zako ni 20k. So literally bajeti yako ni 50k (utakaa kinyonge sana kiongozi)
Muite aje nyumbani mpike chakula kizuri mkipendacho. Vinywaji vya mahitaji yenu. Utafungulia mziki wa chaguo lako kutoka sabufa lako.
Hamtaharakisha kuondoka et kisa mmenaliza kula muwapishe wengine.
Hamtagharamia usafiri wa kuwarudisha nyumbani.
Ama hakika na chench itabaki na kuna Christmas inakuja, if you know you know
Ndio maana nimesema kabisa iwe ya kutosha yani!Yeah,but hela isiwe ya mawazo utaenjoy sana
Amesema 70000Una kiasi gani cha fedha kwa ajili ya hilo swala?
Hahaha Mkuu...Usiwaze kwenda beach hotels wala hio pesa ni ya mbuzi wa kawaida tu wa kufanyia hakika ya mtoto[emoji23]!
Mpeleke demu wako Mlimani akale chips KFC pale inatosha chenchi iliobakia nipigie nikufate na kukupelekeni Lodge ya 25K chimbo mkamalizane walau utabakia na hela ya uchakavu ya kumpa asubuhi!
Ukijifanya kumpeleka bar classic za ufukweni na kama ni mnywaji mzuri utafurahia show. Bia local 6K imported 9K utajua hujui![emoji23]!
Hapo bado hajala plate ya 22K unaweza ukapata simu ya mgonjwa ghafla[emoji28] ukamuaga!
Hahahahahah ndio matumizi ya hela kaka😅😆😅 kuna kansa na visukari mbeleni huko bora utumie sahizi wakati afya ipo!Hahaha Mkuu...
Moja kwa moja umenipa nitoke na malaya, nifanye matumizi nje ya bajeti yangu...
[emoji119][emoji119][emoji119]
Hapa sasa umeongea, kule ulikuwa unazungumzia wanawake wa Daslam mixer malaya [emoji23][emoji23][emoji23]Kama ni mpenzi wako kweli huwa wako concerned na matumizi ya hela hatakukomoa[emoji28] mtakula vitu basic tu na uzuri sehemu mnaweza enda ya kiwango cha kati sio expensive sana. Kigamboni zipo zipo njia ya kuelekea Kibada ile
Nah nah i ain't stop mzee, tayari niko na pawa yakutosha, mpenzi wangu hana mambo mengi afu kina mjuba kanipanga mahali hapo[emoji6] Natoka na nakula nae vizuri tu na kulala pia yaan Lodge nzuri tu hapa town...Yeah,but hela isiwe ya mawazo utaenjoy sana
Sema mshikaji wanamsakama anaweza akahairisha mtoko nimekuja kumtetea nawe umenitoa nduki,you can't be serious dude
Eeh kule ni wale Slay Queens wa kwenda naziitaga chombo za mjerumani lazima uvunje kibubu ila kwa mpenzi wako ni kama toyota IST tu mafuta inanusa spea bwelelee so gharama ipo chini!Hapa sasa umeongea, kule ulikuwa unazungumzia wanawake wa Daslam mixer malaya [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha Una nyumba ngapi [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahah ndio matumizi ya hela kaka[emoji28][emoji38][emoji28] kuna kansa na visukari mbeleni huko bora utumie sahizi wakati afya ipo!
Considered mkuu...[emoji122][emoji120]Nenda sehemu moja Upanga inaitwa Baraza Restaurant (unaweza uka-google) iko karibu na TAKUKURU pale wana msosi mzuri sana kwa sh 20,000 kwa mtu mmoja kwa hiyo mtatumia 40,000 kwenye chakula na say 20,000 ya vinywaji 10,000 iliyobaki unamhonga huyo mdosho
Kama vipi beba laki ili uvimbe lakini matumizi hapo ni 60,000 tu
Naposema ni pazuri kutoka ni pazuri kweli
Hahahahahah nyumba moja tu mkuu kwani tutazikwa nayo hata😅Hahaha Una nyumba ngapi [emoji23][emoji23][emoji23]
It's outin sio kufuru, kuna mengine mengi yakufanya...