Ni wapi na lini CAF walitangaza ligi ya Tanzania ni ya 5 kwa ubora?

Kwa takwimu za CAF tuko namba sita
 
Kwa hiyo kila nyuzi inayoletwa humu unadhani nitaiona? Ulivyoingia kwenye huo uzi uliona niliuchangia? Kama una bando la kufukunyua nyuzi za nyuma, unashindwa nini kupata link ya FIFA au CAF iliyotoa hizo rankings mnazotamba nazo?
Ingekua vizuri ukazileta hapa wewe mwenye akili, mimi nmeleta za uongo
 
Ila inaweza kuwa kweli maana ukiangalia kwa ukanda wa nchi za chini ya jangwa la Sahara kwa Sasa ligi yetu itafungwa na team kutoka SA (hapa naongelea Yanga na Simba)
Hicho siyo kigezo Cha ubora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…