Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,557
- 1,540
Kwa takwimu za CAF tuko namba sitaKwa muda sasa kumekuwa na kupongezana kutokana na taarifa kuwa ligi kuu ya NBC ilitangazwa ni ligi ya 5 kwa ubora katika bara la Afrika.
Kwa muda mrefu nimejaribu kuitafuta hii taarifa humu mitandaoni kutoka vyanzo vyovyote vya nje ikiwemo CAF wenyewe ila hadi leo sijawahi kuiona mahali popote.
Kama kuna mtu ana link inayotaja rank hiyo itapendeza akishare katika uzi huu.