Ni wapi naweza kupata Kiwanja cha chini ya milioni 4 kwa Dar es Salaam?

Ni wapi naweza kupata Kiwanja cha chini ya milioni 4 kwa Dar es Salaam?

Habari Wana JF,

Natafuta Kiwanja Dar es salaam Cha bei poa Chini ya Mil 4

Vigezo;
  • Eneo liwe lina upatikanaji wa maji na umeme
  • Pasiwe mbali sana na Mji(Ndani ya dar es salaam)
  • Eneo la kutosha vyuma ya vyumba 3 na choo 2.
Nenda Buza kwa mpalange utapata
 
Kwa vigezo vyako...

Hapo ni mwendo wa Mbangala, Chanika, kivule, Chamazi, Gongola Mboto...

Bagamoyo unapata...
Kigamboni unapata ila ni mbali sana...
 
Back
Top Bottom