Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kigamboni mji mwema patakufaa zaidi, 20 kwa 20 unapata na ni karibu na mjini bora adha ya kuvuka pantoni kuliko kwenda kujenga Chanika utajuta.Habari Wana JF,
Natafuta Kiwanja Dar es salaam Cha bei poa Chini ya Mil 4
Vigezo;
- Eneo liwe lina upatikanaji wa maji na umeme
- Pasiwe mbali sana na Mji(Ndani ya dar es salaam)
- Eneo la kutosha vyuma ya vyumba 3 na choo 2.
Ukishamalizana na matapeli wote ukiwa upo tayari kununuwa kiwanja nicheck nitakukabidhi kwa mwenyekiti wa mtaa unamaliza shida yako.
Hakuna mjanja yoyote anayekaa mbali na city center, viwanja vipo tatizo wabongo ujuwaji mwingi.