Matapeli wa kumwaga,kuna mwana wa karibu sana na si tapeli akanishtua baba yake mdogo anauza kiwanja mitaa ya kibamba hospitali,nikamuamini jamaa sababu naijua michezo yake si ya kipigaji,nikamvutia waya dogo aende kukiona,kukiona kiko poa,nikatuma pesa dogo akalipia bila doubt yyt sababu muuzaji ni faza mdogo wa mwana wa karibu na mwana alitutoa shaka kwa mdingi wake,tukapitia sehemu zote hadi serikali za mitaa na wao wakala chao kmm zao,baada ya miezi kadhaa tunakuja kugundua ile sehemu ipo kwenye hifadhi ya muhimbili!nikawa mpole nilichoamua nikampotezea tu mwana huu mwaka wa 8 sina habari nae,wabongo sio kabisa