Kutoka Halmashauri ya kibaha mpaka coco plaza on average tunatumia 45 minutes. Na naenda mara kwa mara kwa sababu za kikazi.. so am sure it's possible na hakuna anayekimbia sana.. just Normal speed 60/70 whenever you canMkuu Kibaha kwenda Posta dk 30 hutoboi. Hata barabara iwe nyeupe kbs uwe unaendesha peke yako. Labda upae
We jiweke tu nachompendea baharia Smart911 uwa arembiInakuja...
Matapeli wa kumwaga,kuna mwana wa karibu sana na si tapeli akanishtua baba yake mdogo anauza kiwanja mitaa ya kibamba hospitali,nikamuamini jamaa sababu naijua michezo yake si ya kipigaji,nikamvutia waya dogo aende kukiona,kukiona kiko poa,nikatuma pesa dogo akalipia bila doubt yyt sababu muuzaji ni faza mdogo wa mwana wa karibu na mwana alitutoa shaka kwa mdingi wake,tukapitia sehemu zote hadi serikali za mitaa na wao wakala chao kmm zao,baada ya miezi kadhaa tunakuja kugundua ile sehemu ipo kwenye hifadhi ya muhimbili!nikawa mpole nilichoamua nikampotezea tu mwana huu mwaka wa 8 sina habari nae,wabongo sio kabisaKama bajeti yako ni Mil.4 hakikisha unatenga at least laki 2-3 kwajili ya uhakiki. Pwani ni yakitapeli mno.. hasa hivi viwanja vya miguu kwa miguu.
Watu hawana huruma ma imekuwa biashara kubwa nhawajifichi tena. Unajikuta umemlipa tapeli, mtu alitapeliwa kwenye maeneo yenye upimaji na Umiliki. Kuwa makini sana.
Pwani sio kabisa... Nina kutana na kesi mpaka wamewapimia kabisa watu kwenye upimaji... Yaani hujui ugeukie wapi.. ndani ya serikali nje kote upigaji tuu... Pole sana . SIku hizi kama haiuzi Halmashauri au mradi hauuzwi kwa uwazi kuwa makini... Maana watu wanakuletea mpaka hati ukifika wizarani zinanza story ..haikuwa kwenye Mfumo wakati tunahamisha mafail..ukishalipa ndio unakutana na Mtu anamiliki toka mwaka 80 huko na analipa Kodi utajua hujuiMatapeli wa kumwaga,kuna mwana wa karibu sana na si tapeli akanishtua baba yake mdogo anauza kiwanja mitaa ya kibamba hospitali,nikamuamini jamaa sababu naijua michezo yake si ya kipigaji,nikamvutia waya dogo aende kukiona,kukiona kiko poa,nikatuma pesa dogo akalipia bila doubt yyt sababu muuzaji ni faza mdogo wa mwana wa karibu na mwana alitutoa shaka kwa mdingi wake,tukapitia sehemu zote hadi serikali za mitaa na wao wakala chao kmm zao,baada ya miezi kadhaa tunakuja kugundua ile sehemu ipo kwenye hifadhi ya muhimbili!nikawa mpole nilichoamua nikampotezea tu mwana huu mwaka wa 8 sina habari nae,wabongo sio kabisa
NomaPwani sio kabisa... Nina kutana na kesi mpaka wamewapimia kabisa watu kwenye upimaji... Yaani hujui ugeukie wapi.. ndani ya serikali nje kote upigaji tuu... Pole sana . SIku hizi kama haiuzi Halmashauri au mradi hauuzwi kwa uwazi kuwa makini... Maana watu wanakuletea mpaka hati ukifika wizarani zinanza story ..haikuwa kwenye Mfumo wakati tunahamisha mafail..ukishalipa ndio unakutana na Mtu anamiliki toka mwaka 80 huko na analipa Kodi utajua hujui
Habari Wana JF,
Natafuta Kiwanja Dar es salaam Cha bei poa Chini ya Mil 4
Vigezo;
- Eneo liwe lina upatikanaji wa maji na umeme
- Pasiwe mbali sana na Mji(Ndani ya dar es salaam)
- Eneo la kutosha vyuma ya vyumba 3 na choo 2.
Tundwi ni Bora ukakae MlandiziTundwi Songani
Kiluvya hii hii ya sasa, labda wewe ulikaa miaka hiyo foleni kama yote Ubungo ndo hujuiKiluvya ipi hiyo unayotumia dk 30 kwenda Posta?
Hivi unapajua Kiluvya au unatype type tu?
Acha uongoo kanohee tu hapo viwanja vipo hata kigambon vipoHuwezi kupata eneo ndani ya dar es salaam kwa hela hio mzee! Maeneo yapo Mkuranga kwa hio pesa unapata eneo kubwa tu la kutosha.
Acha uongoo kanohee tu hapo viwanja vipo hata kigambon vipo
Hapana mkuu ipo jijini ilalaKifuru hali ya hewa sio kisarawe kule?
Maeneo yapo hata chini ya hapo,anifuate pm mm nimtafutie huku mbezi kwa Msuguli anapata[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ndiko maeneo ya kitonga yalipo! Kama hataki anataka karibu na mjini basi aandae 15M au zaidi akawavue watu waliopo karibu na mjini
Chanika kwa mbiki[emoji23][emoji23] kiwanja kina twamisha majiHabari Wana JF,
Natafuta Kiwanja Dar es salaam Cha bei poa Chini ya Mil 4
Vigezo;
- Eneo liwe lina upatikanaji wa maji na umeme
- Pasiwe mbali sana na Mji(Ndani ya dar es salaam)
- Eneo la kutosha vyuma ya vyumba 3 na choo 2.