Ni wapi naweza kupata nyama safi ya Kitimoto for the weekend hapa Dar

mkuu Elli ulishapata ulicho kua una hitaji? tupe mrejesho tafadhali.
Hahahah MPwa nimekuwa Expert siku hizi, kuna Kwa Mama Kamche, Kuna Jirani kidogo na kwa Kobe pale kuna kijiwe tena, Ukija Mitaa ya Mabibo kuna kijiwe kinaitwa Full Dose, Dah Full doze ya ukweli na kuna chimbo jingine linaitwa Gonga Zote, acha kabisa hio mambo aiseee. Tamu balaaa
 

Nitapita huko
 

Amen!!
 
buchani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…