Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
- #181
Hahahah MPwa nimekuwa Expert siku hizi, kuna Kwa Mama Kamche, Kuna Jirani kidogo na kwa Kobe pale kuna kijiwe tena, Ukija Mitaa ya Mabibo kuna kijiwe kinaitwa Full Dose, Dah Full doze ya ukweli na kuna chimbo jingine linaitwa Gonga Zote, acha kabisa hio mambo aiseee. Tamu balaaamkuu Elli ulishapata ulicho kua una hitaji? tupe mrejesho tafadhali.