Ni wapi naweza kupata nyama safi ya Kitimoto for the weekend hapa Dar

Ni wapi naweza kupata nyama safi ya Kitimoto for the weekend hapa Dar

Nenda banana ukonga pale stendi kwanyuma! Yani kuna baa zaidi ya 400 na kila baa ina jiko la gesi kwaajili ya wakatoliki,usisahau malaya na mashoga wapo wakumwaga!
Tatizo linaloboa kunaombaomba wakutisha yani anaweza kufunulia donda alilona mpaka hamu ya wakatoliki ikaisha kabisa.
Wakatolikii. TYK
 
Aisehh kitimoto chao ni full stake laini imeivaa vizuri, ndizi choma nzuriii balaaa, wasanii wasanii wengi huenda pale

Super hero daddy
Wasanii wasanii wengi ,hii wasanii wasanii ni ile ya wajanja wajanja mixer uongo uongo ,au wale waimbaji na waigizaji?

MTC | 101| [emoji769]
 
Makao makuu ya CDM kinondoni mtaa wa Ufipa. Hapo wanagawa bure kabisa.....
hahahahahahahahaha..nimecheka sana mkuu hivi nyinyi watu wa cdm na ccm mna nini ..mnavoraluana humu ndani nafurahi sana,,..dizain zile za zena na betina..mkikutana t mwenye Uzi kinawaka ata kama posti inahusu sadaka za kanisani mtatafutana t kwenye angle...dah!!...idumu jf
 
Back
Top Bottom