Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
unataka nyama ya mdudu duuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilala boma pale flat kuna mbunifu anatengeneza hadi sambusa zake!ni tamu sana ukipata muda pita pale ule mishikaki,roast,kavu na sambusa zake!
Pia nasikia kuna sehemu mburahati huko inavuma sana ingawa wadau wanasema mazingira yake mmm,na sehemu nzuri kulizo zote dar kwa sasa nenda Coco Beach!pale utapata ya kuchoma na style ambayo hutaenda kula sehemu ingine!pita pale!wameiga wale wa slip way village pale ambao wanauza kwa uzito!400mg kwa 20,000 uzungu sana pita pale Coco!utanipa habari yake!
Na mwisho pia nakupa ubunifu wako!nenda sehemu yako unayopenda!waambie waichemshe kwanza nyama ulioagiza!ikiiva!nunua safari lager moja,mimina mule na funika iendelee kuchemka na ile nyama!ile bia(mafuta) ikikauka itakuwa iko tayari!ukila ile nyama na taste yake sidhani kama utapenda kula hizo roast au kavu tena!!!
Kontena bar,ama B Bar
Mwezi wa toba huu jamani
hahaa wanafiki kinoma, Zanzibar huwa inapatikana Kanisa la Roman Matajiri wanaokaa sehemu za Mbweni na Chukwani huwa wnapelekewa mpaka home...
wanaoongea humu JF ni vinamba tu
Hebu ni PM nikuelekeze ukale sasahiviZanzibar hakuna kitimoto
Tembelea Sinza B-Bar/Sinza Mbele ya Sansiro na Sehem Nyingine nyeti nzurii ya Kujificha ni Rudz Farm Bahari Beach ambapo atuweza kula Soseji zilizookwa za Kitimoto. Ni Balaaaaaaa.
hivi Dar Kuna sehemu maalum inapotengenezwa kitimoto ya PORI?
Ndiyo. Barabara ya Goba kupitia makongo juu...umapata kitimoto pori safi sana!!!
Mkuu! Sasa hivi hatupo tena chini ya sheria! The BLOOD OF JESUS flee us from Those laws! We are now free! Hivyo Usikariri! Elewa!!Leviticus 11:7-8 :- And the pig, because it parts the hoof and is cloven-footed but does
not chew the cud, is unclean to you. You shall not eat any of their
flesh, and you shall not touch their carcasses; they are unclean to
you.
Mkuu! Sasa hivi hatupo tena chini ya sheria! The blood of jesus flee us from laws! We are now free! Usikariri!Leviticus 11:7-8 :- And the pig, because it parts the hoof and is cloven-footed but does
not chew the cud, is unclean to you. You shall not eat any of their
flesh, and you shall not touch their carcasses; they are unclean to
you.
Mkuu umetisha aisee. Nimecheka hapa mpaka wife na son wananishangaa!Maneno yote ni Mwenge pale nyuma ya TRA karibu na magorofa ya jeshi kuna bingwa anaitwa CHUWA,kuna jamaa alinipa ushuhuda kuwa hakuwahi kula nyumbani kwake kwa siku kama 20 hivi mfululizo maana kila jioni lazima aripoti hapo, ukila rosti unaweza kumtaliki mkeo,mimi huwa nabeba na mkate kabisa wa kumalizia ile rosti.
Chakechake nyuma ya Skuli ya kondeni utapata huduma.Pemba je?