Pre GE2025 Ni wapi rais Samia anapata pesa za kugawagawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tatizo uwezo wake wa kuongoza ni mdogo ndiyo maana hajui matumizi mazuri ya pesa za umma.Mtu ambaye aliupata urais Kwa dharura hawezi kuwa na akili ya kutumia vizuri rasilimali za umma.
 
QUALITIES OF GOOD EXAMPLES
1: Relevancy
2:Time Limit
3:Simple
4:Non bias
5: Motivational and Quriorisity
 
Kabisa
 
Posho kias gani za kuagiza bodaboda za bilioni 60?
Hizo ni hela za mboga tu, hahahaa, kumbuka Rais akiongea tu anapewa posho

Vilevile wewe ukisema hallow makampuni ya simu yanapata pesa, je kwa watakao sema hallow Tanzania nzima makampuni ya simu yanaingiza kiasi gani?
 
Wizi mtupu
Kodi tunayolipa imefanyiwa utaalam wa namna ya kuikusanya, inapatikana kwa wingi sana.

Pia Rais akiwa ndio mkuu wa nchi analo fungu kubwa la kwake mwenyewe, sawa na alivyokuwa akigawa JPM huko njiani.
 
Uchawa tu
Kuboresha huduma na kujenga vituo vya afya, kuna pesa zake maalum kwa ajili ya masuala hayo na yanafanyika karibu nchi nzima muda huu.

Umeandika uzi wa malalamiko ambayo hayakusaidii kwa namna yoyote ile.
 
Kabisa
 
Kiongozi ukiwa na bei matajiri wanakununua ili utakapokuwa madarakani serikali yako ikae mifukoni mwao.
 
Ngoja uchaguzi uishe… salama yetu ni kuiangusha ccm
 
Kuna mfuko wa rais, huo hata kuhojiwa hauhojiwi matumizi yake.
 
Anatafuta kuungwa mkono kwa mbinde 2025 ni ngumu sana
 
 
Huyu huyu rais hizi pesa za kugawagawa anatoa wapi?Msije mkanijibu rais ana marafiki, msije mkanijibu ni mshahara wake.
Unataka jibu gani Sasa?....kwani halipwi mishahara au hana marafiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…