Ni wapi ungependa kuzuru endapo ukiwa na pesa na muda wa kutosha?

Mie nina sehemu nyingi sana natamani kuenda aisee nikizitaja hapa haziwezi isha
 
Ukija unitafute nikutembeze tule na supu ya sato na sangara bila kusahau ugali wa muhoga na kisamvu cha karanga kwa pembeni..😉😅
Wow hayo ndiyo mambo sasa, ntakutafuta mkuu na huu ulafi sijui nahisi ntavimbiwa😋😋
 
Songea.

Sijui kwanini.... but napasikia tuu.

komesha korona
 
Egypt nikaone pyramids na mambo ya kale Yale ma the mamy!!
Huko ni kwaajili ya utalii marekani kwenda kula Raha na kupata vitu tofauti.. china itakuwa sehemu ya tatu na nikirudi bongo mtu asinizingue maana nitakuwa nimeshasahau pigo langu la kung'ata Mara hiyo itakuwa ni Kung Fu tu napiga mpaka unakaa chini unaanza jifikiria "hivi kwanini naishi..?"😂
Hivi kwanini nimekutana na huyu kenzy anatoa kichapo Cha mbwa koko namna hii😂😂

Cheza usinichezee...😜
 
Ningependa kuzuri Fumba Verde kwa SSB - Said Salim Bakhresa!!
 
Sasa tukikutana watu tunaopenda kula si itakuwa hatari..
Nakula mpaka nakosaga sehemu ya kupumua😂 Cha ajabu sinenepagi tu😅
Ndyo vizuri tukikutana wote tuna appetite,hakiachwi kitu labda mifupa tu ya samaki,😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…