Ni wapi ungependa kuzuru endapo ukiwa na pesa na muda wa kutosha?

Ni wapi ungependa kuzuru endapo ukiwa na pesa na muda wa kutosha?

Queen V

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
775
Reaction score
1,332
Moja ya raha za duniani ni kwenda sehemu ambayo hujawahi kwenda kabla, kuona watu wapya na kujifunza mambo mbalimbali. Safari huweza kuwa ya ndani au nje ya mipaka ya nchi uliyopo

Kikwazo cha wengi kutosafiri huwa ni kukosa uwezo wa kifedha na pia muda wa kuondoka katika shughuli za kiuchumi na kijamii

Endapo ukiwa na pesa na muda ungependa kusafiri kwenda wapi?
 
Back
Top Bottom