Ni wasanii wapi wa muziki unaowajua wanalazimisha fani?

Ushawahi hata kusikia nyimbo yake mkuu huyo Harmorapa?
Nyimbo yake [emoji117] Wimbo wake

Sijasikia wimbo wake ila nimesikia maneno yake ya kijinga ya kujidai na kujikweza kisha kujilinganisha na harmonize.

Wewe umeusikia wimbo wake?
 
Yule binti ana sauti nzuri anaweza akawa muimbaji mzuri kama akijifunza. Kumbuka alitokea kwenye mashindano ya karaoke. Pale anaimba nyimbo za watu. Hajakomaa ku-compose ngoma zake mwenyewe
Kuna wasanii ni wazuri sana (kwa wale wanaojua kukagua sauti na utungaji nyimbo) ila mafanikio yao zero.

Mfano Barnaba Boy, Banana Zorro na Belle 9 mi naona huwa wana vipaji kweli.
 
Wee msechu hapana asee ila tunda khaaaaaaa kweli kabisa
TUNDA hakuna kitu pale, watu huwa wanapenda tu beats za nyimbo zake ika kiuhalisia analazimisha uimbaji.
 
Nyimbo yake [emoji117] Wimbo wake

Sijasikia wimbo wake ila nimesikia maneno yake ya kijinga ya kujidai na kujikweza kisha kujilinganisha na harmonize.

Wewe umeusikia wimbo wake?
Na ndiyo maana hata Diamond mnamtizama yeye badala ya mziki wake. Hata huyo Harmorapa akijakupata mafanikio utamuondoa kwenye kundi la wasiojua kuimba.
 
umemkosea sana heshima queen darleen labda humjui vizuri aisee tangu enzi za marehem roy na kina blue kiba bob jr abby skills.....na malaika na nay wamitego hapo hawafai kuwepo
Mkuu sio mm niliotoa list ila kuhusu Darleen sijawahi kumkubali japokuwa ni mkongwe lkn cjawahi kuona anachokiimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…