Ni wasanii wapi wa muziki unaowajua wanalazimisha fani?

Ni wasanii wapi wa muziki unaowajua wanalazimisha fani?

adam mchomvu
nyandu tozi
crazy Gk

nitakuja na list kamili uchunguzi ukikamilika
King Crazy Gk hit songs
1.Simba wa Africa
2.Sauti ya Manka
3.Sister sister ft.Pauline Zongo
4.Tutakukumbuka ft.Tid
5.Nitakufaje
6.Miiko 10 ya rap
7.Hii leo ft. AY & FA
Bila kusahau mipini kibao aliyotoa na East Coast Team, though nakubali Amiri Jeshi mkuu ameishiwa
 
Ambaye hafai kwa mmoja anafaa kwa mwingine music ni hisia na hisia zinatofautiana kila anayeimba ana fans ndio mana wengine wanataja na wengine wanakosoa ila naweza sema kila mtu anajua kuimba ila wengine hatujaamua kuchukulia mziki kama kazi
 
Acha kukurupuka mzee...hilo ndo jina lake anavojiita...Sijamsifia. wanaomjua wameelewa.
Najua mkuu nlikuwa nashangaa tu umetaja majina yake yote ya sifa... Me mwenyewe sijawahi kumwelewa, na kuna mwingine yule kwenye ndege tunduni aliimba "changa la macho vibaya vibaya mwaka huu watajenga barabara" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijui nani
 
Back
Top Bottom