Man in black
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 361
- 378
Ochu hapana...huyu anajua sana.Witnes kibonge mwepesi na bwanaake ochu shegy
Bela fasta
Gigy money
Hakeem 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ochu hapana...huyu anajua sana.Witnes kibonge mwepesi na bwanaake ochu shegy
Bela fasta
Gigy money
Hakeem 5
Nikikumbuka ile nyimbo ya Kabibi...nakataa.abdukiba
Shujaa wangu... Long live guys.Mnaosema na kumtaja Mond mnakosea aisee japo ni mawazo na mtazamo wenu.. Hyo nimeikuta kwenye mall za windhoek Namibia na Lusaka zambia na jarida linauzika sana tu..![]()
HapanaHemed suleiman
Jamani.20 percent
Mkuu inawezekana ww unamwelewa lkn mimi BIG NOOchu hapana...huyu anajua sana.
Wew humjui Peter Msechu kijana wa Kabanga Kasulu kigomaHabarini Wadau,
Ni ukweli ulio wazi kuwa wapo wanaoitwa wanamuziki hapa bongo ila hawana sifa hizo, kifupi wanalazimisha sana uanamuziki
Kiukweli zaidi kama wangekuwepo nchi zinazojua kuchuja karama au vipaji vya watu kama USA basi wasingekuwepo kabisa kwenye orodha ya wanamuziki hasa waimbaji.
Mimi nitawataja wachache wafuatayo, ambao huwa hawaimbi ila wanaongea tu, na kama wakiimba basi ujue wameshirikishwa au wamebebwa.
Hao ni:-
1) Tunda man
2) Ney wa Mitego
3) Peter Msechu
Ongezea wengine.
Gigy money ametoa nyimbo ganiWitnes kibonge mwepesi na bwanaake ochu shegy
Bela fasta
Gigy money
Hakeem 5
Hajui kuimba ila ana vinogesho flani hivilist yako nimeikubali sana ila sijui kwanini mensen namkubali sana
na mwaka huu lazima yagonge chu*i!Kuna mtu mmoja anaitwa K.R jibaba mziki mnene CD700. Huyu ndo sijawahi kumuelewa.
Mahela na supuGigy money ametoa nyimbo gani
Ahsante kakamasahihisho:
Tundaman & spark ft madee - nipe ripoti
Acha kukurupuka mzee...hilo ndo jina lake anavojiita...Sijamsifia. wanaomjua wameelewa.na mwaka huu lazima yagonge chu*i!
Umemsifia hivyo alafu hujawahi kumwelewa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani we jamaa Wenger kakuchanganya kweli kweli...
Hiyo Ngoma ya Nipe Ripoti JI katokea wapi?!
Humo kuna C Pack na Mtu mzima Madee.