Ni wasanii wapi wa muziki unaowajua wanalazimisha fani?

Ni wasanii wapi wa muziki unaowajua wanalazimisha fani?

91881b09922b89d0aef3418d45cc2b46.jpg
Mnaosema na kumtaja Mond mnakosea aisee japo ni mawazo na mtazamo wenu.. Hyo nimeikuta kwenye mall za windhoek Namibia na Lusaka zambia na jarida linauzika sana tu..
Shujaa wangu... Long live guys.
 
Habarini Wadau,

Ni ukweli ulio wazi kuwa wapo wanaoitwa wanamuziki hapa bongo ila hawana sifa hizo, kifupi wanalazimisha sana uanamuziki

Kiukweli zaidi kama wangekuwepo nchi zinazojua kuchuja karama au vipaji vya watu kama USA basi wasingekuwepo kabisa kwenye orodha ya wanamuziki hasa waimbaji.

Mimi nitawataja wachache wafuatayo, ambao huwa hawaimbi ila wanaongea tu, na kama wakiimba basi ujue wameshirikishwa au wamebebwa.

Hao ni:-

1) Tunda man

2) Ney wa Mitego

3) Peter Msechu


Ongezea wengine.
Wew humjui Peter Msechu kijana wa Kabanga Kasulu kigoma
 
1, Gigy money hajui anatuonyesha jinsi ya kutikisa makalio
2, Harmorappa comedian
3, shilole aibu tuu anafanya
4,snura hawajatofatiana na shilole Sana'a waanzishe madarasa ya kufundisha unyago
5,Abdukiba, jina la kaka linamueka mjini
6,Queen Darling ,jina la kaka linampa fursa
7,Ney wa mitego , hiphop michambo
8, luludiva simwelewi
9, Nuh mziwanda
10, chege na tunda man ,,sauti zinakwaruza tuu sema ujumbe wa nyimbo zao
 
Back
Top Bottom