Kuna Nandy. Hajui kupangilia namna ya kuimba. Anapayuka tu mara kapanda mara kashuka. Hata ku-harmonize kwake hakuvutii.
Anahitaji darasa la hali ya juu ajue kutumia kile kisauti chake.
Wewe umeandika inavyoandikwa mimi nimeandika inavyotamkwa.C Pack ndio nani?? au unamsema Spark??
Harmorapa anauza spea za magar kariakooAsee harmorapa jamani atafutiwe kazi nyingine.
Kwanza huwa haimbi anasema.Huyo ile mikao yake za uchi uchi na skendo ndio zinampa umaarufu ila utungaji wa nyimbo ni zero
una matatizoOttu jazz
Usisahau na wale wabana pua huwa wananikera japo sijui kuimba
Bila shaka we ni shabiki wa soka si muzikiHabarini Wadau,
Ni ukweli ulio wazi kuwa wapo wanaoitwa wanamuziki hapa bongo ila hawana sifa hizo, kifupi wanalazimisha sana uanamuziki
Kiukweli zaidi kama wangekuwepo nchi zinazojua kuchuja karama au vipaji vya watu kama USA basi wasingekuwepo kabisa kwenye orodha ya wanamuziki hasa waimbaji.
Mimi nitawataja wachache wafuatayo, ambao huwa hawaimbi ila wanaongea tu, na kama wakiimba basi ujue wameshirikishwa au wamebebwa.
Hao ni:-
1) Tunda man
2) Ney wa Mitego
3) Peter Msechu
Ongezea wengine.
Bila shakaUmesema "Bila shaka"
So una uhakika na hilo?
Piter msecho yupo vizuri.siset p bora alivyo acha hamorapaHabarini Wadau,