Ni wasanii wapi wa muziki unaowajua wanalazimisha fani?

Ni wasanii wapi wa muziki unaowajua wanalazimisha fani?

Huwa nashindwa kumwelezea nandy,!sijui shida ni nini,siwezi sema hana sauti nzuri,,!!ila kusema anajua kuimba ama hajui ni mtihani
Nkama ana aina Fulani ya uimbaji wa kufundishwa darasani.
Ni mawazo yangu
Kuna Nandy. Hajui kupangilia namna ya kuimba. Anapayuka tu mara kapanda mara kashuka. Hata ku-harmonize kwake hakuvutii.
Anahitaji darasa la hali ya juu ajue kutumia kile kisauti chake.
 
Habarini Wadau,

Ni ukweli ulio wazi kuwa wapo wanaoitwa wanamuziki hapa bongo ila hawana sifa hizo, kifupi wanalazimisha sana uanamuziki

Kiukweli zaidi kama wangekuwepo nchi zinazojua kuchuja karama au vipaji vya watu kama USA basi wasingekuwepo kabisa kwenye orodha ya wanamuziki hasa waimbaji.

Mimi nitawataja wachache wafuatayo, ambao huwa hawaimbi ila wanaongea tu, na kama wakiimba basi ujue wameshirikishwa au wamebebwa.

Hao ni:-

1) Tunda man

2) Ney wa Mitego

3) Peter Msechu

Ongezea wengine.
Bila shaka we ni shabiki wa soka si muziki
 
Piter msecho yupo vizuri.siset p bora alivyo acha hamorapa
 
Back
Top Bottom