Ni wasanii wapi wa muziki unaowajua wanalazimisha fani?

Ni wasanii wapi wa muziki unaowajua wanalazimisha fani?

  • Luludiva
  • Abdukiba
  • Amberlulu(ila amejua jinsi ya kunogesha wimbo wake wa 'watakoma' ni mzuri)
  • Shilole
  • Snura
  • Harmonize
  • Bonge la nyau
  • Mensenselekta
  • Pham dafa
  • Shetta(huyu arudie style yake aliyoanza nayo)
  • Hemedi PhD (hajui kuimba ila nyimbo zake ni nzuri nazikubali)
 
List yangu ni hii;

Ney wa mitego.
Queen darlin.
Abdu kiba.
Snura.
Shilole.
Baba levo

Bila kuwasahau na waimba singeli wote
Snura sawa kabisa, analazimisha fani
 
Back
Top Bottom