Ni wazi kuwa Nchi kwa sasa haipo kwenye mikono salama

Ni wazi kuwa Nchi kwa sasa haipo kwenye mikono salama

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Kwa masikitiko makubwa sana
Viongozi tuliokuwa nao kwa sasa wamekosa TIJA.

Nadhani kwa mara ya kwanza kwenye Taifa letu tumeweza kuwa na rais mwenye uwezo mdogo sana

Natambua wapo wanaonufaika na incompetence ya Samia , to them , ni stepping stone kufikia malengo yao :

Kwenu CCM wenye akili timamu nadhani mnahitaji kujifunza kuwa URAIS Sio kila mtu ; Samia is a bread of shame , hauwezi hata kulika. Kama msipoona umuhimu wa constitution reform na mkadhani hilo ni suala la Wapinzani, basi hatari ni kubwa

Samia aliweka Tozo kwenye kila eneo , Je Barabara zimekamilika ( miaka 6 mfululizo ) , je kuna Bima ya afya kwa wote ? deni la taifa limeongeza mara dufu , , kwenye kuingiza magari nako ameweka tozo, misaada inakuja, mali zinauzwa, watu wanalipishwa kodi kama vichaa, hata ukipaki gari yako nje ya nyumba yako , jamaa wanaskani, madini yanauzwa lakini hakuna kinacho kamilika!, tume ya uchunguzi iliyoundwa na muhalifu kila siku inaongezewa muda ; mpaka sasa tume imetumia zaidi 800Mil - just kukusanya majibu yakiyotengenezwa na Samia mwenyewe

Pesa zinaenda wap?

Barabara hazikamiliki , nchi haina dawa, nchi haina umeme, hali za wananchi zinaziid kuwa mbaya , mafuta yalitoka 1700 hadi 4000 kwa sasa ;

fedha zinakwenda wapi ????

Akili ya Samia ina focus kwenye kuongeza deni na kuuza mali za nchi, national resources including bandari zetu anauza zote tena anawauzia waarabu;

hivi kuna Muarabu yoyote mwenye akili ya kuleta maendeleo,?

guys , are we sure this old woman is not being used ? Are we sure vetting ya huyu old woman as a presiden ilifanyika vema ?

Mambo mengi anayofanya hayaoneshi kama yanalengo zuri na taifa letu ! Hata mauaji aliyoyafanya tells a lot vetting ya Samia iangaliwe upya isije kuwa yupo remoted !

Hata communication yake na wananchi kwenye hard time kama hizi, ni kuropoka tu , Hana formal communication… like kwamba tunatambua gharama za vitu zitapanda hivyo serikali imechukua hatua 1 2 3 ikiwemo na kupunguza VAT kutoa 18% hadi 10% ili wananchi wasiumie kutokana na gharama kupanda; Rais mwenye akili ndio anaongea hivo na wananchi: huyu wetu anaropoka bila kujua wananchi wana burden gani kwa sasa

Hana solution wala comfort - Nina wasiwasi , I am doubting about this old woman , inawezekana anatumika kuliharibu taifa, it is not normal as a president to behave like that :

kuna kitu hakipo sawa - wapo maraisi ambao ni ma agent -

Imagine , CAG report , billions of USD zimeingia kwenye mikono ya watu : Accountability ya Rais ni next time tuwataje ili waone aibu- Guys this old woman is being used …. Pay attention mta notice … Rais Hana uchungu na chochote kwenye nchi yake .

Mda wa Rais umebaki 3 miaka tu na Hana maono hadi sasa

I advice Samia achunguzwe, things are not okay

Dr Megalodon Mushi
Canada
 
Kwa masikitiko makubwa sana
Viongwoman is being used …. Pay attention mta notice … Rais Hana uchungu na chochote kwenye nchi yake .

Mda wa Rais umebaki 3 miaka tu na Hana maono hadi sasa

I advice Samia achunguzwe, things are not okay

Dr Megalodon Mushi
Canada
Hoja nzito hii,
Mimi binafsi namlaumu Mzee wa msoga, kwa nafasi yake aliweza kutuepusha kama nchi na hilo tatizo ila naona Sasa ndio mnufaika mkubwa wa ujinga anaofanya huyo kimama kinachojiita raisi.

Mzee wa msoga amekua mbinafsi, mlafi, asietosheka na matatizo anayowasababishia watanzania kila siku.
Mzee wa msoga ni mti mkubwa wa mbuyu ambao umeficha mafisadi, majambazi , matapeli, wachawi, majini n.k wanaonyonya watanzania na rasilimali zetu bila huruma.
Siku huo mti wa mbuyu utakapokatika au kukatwa na kudondoka hayo matakataka yote yaliyojificha kwa kutumia yeye yatakimbia hapa nchini.
 
Kwa masikitiko makubwa sana
Viongozi tuliokuwa nao kwa sasa wamekosa TIJA.



kuna kitu hakipo sawa - wapo maraisi ambao ni ma agent -

Imagine , CAG report , billions of USD zimeingia kwenye mikono ya watu : Accountability ya Rais ni next time tuwataje ili waone aibu- Guys this old woman is being used …. Pay attention mta notice … Rais Hana uchungu na chochote kwenye nchi yake .

Mda wa Rais umebaki 3 miaka tu na Hana maono hadi sasa

I advice Samia achunguzwe, things are not okay

Dr Megalodon Mushi
Canada
Umeandika vema kanisa. Solution ni ipi? Armed struggle? Pendekeza solution
 
Hoja nzito hii,
Mimi binafsi namlaumu Mzee wa msoga kwa nafasi yake aliweza kutuepusha kama nchi na hilo tatizo ila naona Sasa ndio mnufaika mkubwa wa ujinga anaofanya huyo kimama kinachojiita raisi.

Mzee wa msoga amekua mbinafsi, mlafi, asietosheka na matatizo anayowasababishia wa Tanzania.
Mzee wa msoga ni mbuyu ambao umeficha mafisadi, majambazi , matapeli, wachawi, majini n.k wanaonyonya watanzania na rasilimali zetu.
Siku huo mbuyu utakapokatika na kudondoka hayo matakataka yote yatakimbia nchini
Huyo ndo adui numbers Moja
 
Mungu amlaani JK na kizazi chake chote!

Inakuwaje nchi ya watu mil. 70 inangukia mikononi mwa kilaza kama huyu bibi?
Inasikitisha kuwa huyu ndio muongoza njia

Tena Ana pHD aisee

Wana pens PhD tu ….. Hivi huyu ameshawahi pita kwenye Viva voce defense ya PhD

Haya maeneo hawafiki watu kama
Hawa

Alipataje phd
Naona anaitwa Dr Samia
 
Alinishangaza ile siku alipokuwa anazungumzia mauwaji ya 2910 eti hata sisi Zanzibar waliuwawa watu aki refer wakati wa mkapa Sasa hapa alimaamisha nini? Tafsiri yangu nilivyomuelewa ni kama anasema nasisi wazanzibari tumelipa kisasi Cha 1995.
 
Back
Top Bottom