Ni wazi kuwa Nchi kwa sasa haipo kwenye mikono salama

Alinishangaza ile siku alipokuwa anazungumzia mauwaji ya 2910 eti hata sisi Zanzibar waliuwawa watu aki refer wakati wa mkapa Sasa hapa alimaamisha nini? Tafsiri yangu nilivyomuelewa ni kama anasema nasisi wazanzibari tumelipa kisasi Cha 1995.
I am doubting Samia ni low IQ agent

Ikumbukwe Samia alianza kumsnitch JPM

JP alikuwa anakimbizana na kina lisu, but the real enemy was just right to his nose . Samia ndio alikuwa anatoa taarifa za Ikulu kuwapa vijana wanaoitwa kigogo

Ever wondered why alipokufa JPM Habari za kigogo zikapotea
Nadhan we have very week system intelligence ya nchi

Nasisitiza Samia achunguzwe Kuna kitu hakipo sawa vetting

Ishu za Mikataba ya bandari Samia alienda kusainia kwenye Hotel za dubai

Hivi national resources unaenda kuzisaini kwenye hotel : baadae akaja na majibu : Niambieni watanzania, bandari baada ya kuwap wapemba wa dubai imeleta manufaa gani kwa mwananchi; gharama za kugomboa zimepanda na mizigo bado inachelewa sana na mkataba alioingia ni mibaya hata Rais ajae atakuwa na kazi ile ya JPM —— maana hiyo ni mikataba ya kimataifa huwez kuvunja tu ni hatari sana the old woman achunguzwe—- kuna agenda sio ya kawaida na huyu mwaname

The old woman is being used under smart agent ; Samia yupo kwenye total country destruction
We are all fucqed
 
Nakubali
 
Anga la nchi limemkataa mkuu wa watu kwa huu wakati.
Hakuna chochote atakachofanya chenye kibali.
Ufalme wa awamu hii ni ufalme usiotiwa taji kwa maana usio na ridhaa ya watawaliwa.
 
Umeandika upumbavu mtupu. Mama yako mzazi anaweza hata kuongoza familia yake? Angekuwa anaweza usingekuwa mtu mpuuzi.
 
Anga la nchi limemkataa mkuu wa watu kwa huu wakati.
Hakuna chochote atakachofanya chenye kibali.
Ufalme wa awamu hii ni ufalme usiotiwa taji kwa maana usio na ridhaa ya watawaliwa.
Ni Mlango wa shetani. The devil , according to the mythical stories …. Woman ni weak point … I wonder JPM na ukatoliki wake alishindwa kujua kufanya kazi na mwanamke kwenye highest position kama ile ni hatari sana .

Yule Mke wa mengi alikuwa anatumika na kina Mkapa kutaka kummaliza Mengi….
Thinking ya JPM doh ….. Old woman was snitch way back , kupewa Urais tu kazi na utu - kipo wapi —- ndio Rais pekee aliekalia kiti kwa kuua wananchi wake
 
 
Umeandika upumbavu mtupu. Mama yako mzazi anaweza hata kuongoza familia yake? Angekuwa anaweza usingekuwa mtu mpuuzi.
yawezekana kweli mama yake au mama yangu au mama yako hawezi kuongoza hata familia, Je nchi yetu ndo iongozwe kwa majaribio kuona kama fulani anaweza au hawezi? hakuna watu competent? Hii nchi imekosa viongozi kiasi hiki? Watanzania kwann mshabikie kuharibiwa kwa nchi yenu? Kisa elfu 7 ya hapo Lumumba kweli? Au kisa ushabiki wa chama? Feel guilty
 
Inshangaza jinsi wanaume wazima ,wenye nafasi za kufanya maamuzi,waliweza kukubali mwanamke mwenye uelewa mdogo hivyo wa masuala ya kimataifa kuwa rais wa nchi.Hili linawezekana tu mtu akifikiri kwa kutumia tumbo.

Watu kukubali kuwa rais huwezi laumu sana sababu lilikuwa suala ka katiba,na pia hakuna aliyekuwa anajua kuwa mambo yatakuja kuwa hivi.

Navyoona ni ashajichokea zake ili mradi liende.

Wa Tanzania ni wabinafsi sana sana sana,naweza sema hakuna mtanzania mwenye madaraka aliyepo kwa ajili ya nchi yake,wapo kwa ajili ya maslahi yao binafsi, kuangalia upenyo wa kupiga mali basi!

Siyo samia tu,ni ikiwemo na wanaomzunguka wote lengo lao ni moja,"system" iliyopo si kwa ajili ya taifa.

Kwanza kiongozi gani mwenye ameonesha upendo kwa nchi au mwanadamu mtanzania wa chini? Labda naona Babalevo.

Lengo la kuwa kiongozi kwa nchi yetu ni kuingizwa kwenye channels za kuiba raslimali za nchi kadri ya utavyoweza kulingana na nafasi yako.

Wale wenye nafasi wapo wenye elimu zao wanayajua haya.
 

Watu kama hao huwa wanadhani huwa wanawakomesha watu wanaokosoa,yeye anadhani anakukomesha.

Mambo hayako hivyo kabisa,jambo baya linalofanyika,wizi wa raslimali linaathiri wote akiwemo yeye na kizazi kijacho.

Na siyo kwamba mtu akikosoa ndiyo ana teseka,watu wana maisha mazuri kuliko anayetetea maovu,maana wapigaji wa mabilion wana akili zao timamu na hawawezi andika hayo sababu wanaujua ukweli wakiwa peke yao.

Ni wale mbwa wanaolipwa kiduchu ndiyo wanakuja kubweka
 
 
Uwez

Uwezo wako wa kujadili na kuelewa mambo ni mdogo mno,umejaa chuki na ujinga
Kama haya ndiyo majibu yako kwenye huu uzi basi ni aibu kwa chawa mpumbavu wa aina yako kusema eti uzi umejaa ujinga pasina kuzichambua na kuzijibu hoja zake, sadly sijawahi kuona sehemu yoyote ile chawa wakawa na akili za kujibu hoja. Nilishahabarishwa kuwa huwa wanachagua mbumbumbu wasio na akili na wasiojitambua kwani ni dhahiri kwamba mtu mwenye kujitambua na uelewa hawezi kuwa chawa.
 
Mie naamini hata hawa machawa wanaopiga kelele kisa buku 7 na kutafuta sifa za uteuzi, wakienda chooni huwa wanatukana huko kimya kimya, kama taifa tumepata mh kilaza, ni vile tu viongozi wetu walivunja uzalendo sasa hivi kila mtu anapigania tumbo lake, hata kama kwa kudhalilika mradi yake yaende, ila binadamu yoyote mwenye akili timamu, lazima amuone yule mama chenga, watapinga tu hapa kisa wanakula buku 7 na kusaka uteuzi ila moyoni mwao wanakili haya tunayosema
 
Kama aliweza kudanganya kapigiwa kura 32 na zikahesabiwa siku 3 na kujipa ushindi wa 98%

Atashindwaje kuona kawaida kuwaambia watu liter ya petrol ulaya inauzwa 18 milioni za kitanzania?

Na Muhimbili majuzi eti wamempa shahada ya bingwa bobezi , sasa kika kitu kiko matekani kutuaminisha ni bingwa huyu.
 
Anawafaidisha wazanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…