granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 4,869
- 11,356
I said ths siku alpoapishwa baada ya kuchinga watu, samuya sio binadamu,Your doubts are long confirmed.
Mimi nadoubt if she is even a real human being. Kila nikimuangalia naona kitu cha ajabu sana, sio binadamu.
Wewe mpuuzi hata angekuja Yesu au Muhammad kuongoza hii nchi bado angelaumiwa. Mama Samia anatosha. Lawama ni sehemu ya uomgozi.yawezekana kweli mama yake au mama yangu au mama yako hawezi kuongoza hata familia, Je nchi yetu ndo iongozwe kwa majaribio kuona kama fulani anaweza au hawezi? hakuna watu competent? Hii nchi imekosa viongozi kiasi hiki? Watanzania kwann mshabikie kuharibiwa kwa nchi yenu? Kisa elfu 7 ya hapo Lumumba kweli? Au kisa ushabiki wa chama? Feel guilty
Anatosha kwa lipi kwa nini nyie machawa majibu yenu mepesi mepesi tu hamna hoja ya maana mnabwabwaja tu kama wajinga?Wewe mpuuzi hata angekuja Yesu au Muhammad kuongoza hii nchi bado angelaumiwa. Mama Samia anatosha. Lawama ni sehemu ya uomgozi.
Samia hafai lakini Jiwe naye alikuwa disaster kwa Taifa,bora Mungu alimuondoaI am doubting Samia ni low IQ agent
Ikumbukwe Samia alianza kumsnitch JPM
JP alikuwa anakimbizana na kina lisu, but the real enemy was just right to his nose . Samia ndio alikuwa anatoa taarifa za Ikulu kuwapa vijana wanaoitwa kigogo
Ever wondered why alipokufa JPM Habari za kigogo zikapotea
Nadhan we have very week system intelligence ya nchi
Nasisitiza Samia achunguzwe Kuna kitu hakipo sawa vetting
Ishu za Mikataba ya bandari Samia alienda kusainia kwenye Hotel za dubai
Hivi national resources unaenda kuzisaini kwenye hotel : baadae akaja na majibu : Niambieni watanzania, bandari baada ya kuwap wapemba wa dubai imeleta manufaa gani kwa mwananchi; gharama za kugomboa zimepanda na mizigo bado inachelewa sana na mkataba alioingia ni mibaya hata Rais ajae atakuwa na kazi ile ya JPM —— maana hiyo ni mikataba ya kimataifa huwez kuvunja tu ni hatari sana the old woman achunguzwe—- kuna agenda sio ya kawaida na huyu mwaname
The old woman is being used under smart agent ; Samia yupo kwenye total country destruction
We are all fucqed
Black race is a curse.Wewe mpuuzi hata angekuja Yesu au Muhammad kuongoza hii nchi bado angelaumiwa. Mama Samia anatosha. Lawama ni sehemu ya uomgozi.
Unajua wewe ndio mpumbavu uliyefika mwisho,na sio upumbavu tu,ni zuzu ambae umepagawa na hasira ambazo hazina kipimo,ni uzi upi ambao unaweza kuuleta hapa unaonionesha mimi kuwa chawa?Kukujibu wewe hakunifanyi mimi kuwa chawa shubamiti.Yaelekea wewe kula yako ni ya shida sana,na pengine hujalacwiki nzima chakula cha maana,zaidibya nyama za mafungu.Kama haya ndiyo majibu yako kwenye huu uzi basi ni aibu kwa chawa mpumbavu wa aina yako kusema eti uzi umejaa ujinga pasina kuzichambua na kuzijibu hoja zake, sadly sijawahi kuona sehemu yoyote ile chawa wakawa na akili za kujibu hoja. Nilishahabarishwa kuwa huwa wanachagua mbumbumbu wasio na akili na wasiojitambua kwani ni dhahiri kwamba mtu mwenye kujitambua na uelewa hawezi kuwa chawa.
tumia akili yako sometimes to correct typo err!Kanisa ndio nini
Huu ni ukweli mchungu, na ambao wanufaika wake hawawezi kamwe kuusikia.Kwa masikitiko makubwa sana
Viongozi tuliokuwa nao kwa sasa wamekosa TIJA.
Nadhani kwa mara ya kwanza kwenye Taifa letu tumeweza kuwa na rais mwenye uwezo mdogo sana
Natambua wapo wanaonufaika na incompetence ya Samia , to them , ni stepping stone kufikia malengo yao :
Kwenu CCM wenye akili timamu nadhani mnahitaji kujifunza kuwa URAIS Sio kila mtu ; Samia is a bread of shame , hauwezi hata kulika. Kama msipoona umuhimu wa constitution reform na mkadhani hilo ni suala la Wapinzani, basi hatari ni kubwa
Samia aliweka Tozo kwenye kila eneo , Je Barabara zimekamilika ( miaka 6 mfululizo ) , je kuna Bima ya afya kwa wote ? deni la taifa limeongeza mara dufu , , kwenye kuingiza magari nako ameweka tozo, misaada inakuja, mali zinauzwa, watu wanalipishwa kodi kama vichaa, hata ukipaki gari yako nje ya nyumba yako , jamaa wanaskani, madini yanauzwa lakini hakuna kinacho kamilika!, tume ya uchunguzi iliyoundwa na muhalifu kila siku inaongezewa muda ; mpaka sasa tume imetumia zaidi 800Mil - just kukusanya majibu yakiyotengenezwa na Samia mwenyewe
Pesa zinaenda wap?
Barabara hazikamiliki , nchi haina dawa, nchi haina umeme, hali za wananchi zinaziid kuwa mbaya , mafuta yalitoka 1700 hadi 4000 kwa sasa ;
fedha zinakwenda wapi ????
Akili ya Samia ina focus kwenye kuongeza deni na kuuza mali za nchi, national resources including bandari zetu anauza zote tena anawauzia waarabu;
hivi kuna Muarabu yoyote mwenye akili ya kuleta maendeleo,?
guys , are we sure this old woman is not being used ? Are we sure vetting ya huyu old woman as a presiden ilifanyika vema ?
Mambo mengi anayofanya hayaoneshi kama yanalengo zuri na taifa letu ! Hata mauaji aliyoyafanya tells a lot vetting ya Samia iangaliwe upya isije kuwa yupo remoted !
Hata communication yake na wananchi kwenye hard time kama hizi, ni kuropoka tu , Hana formal communication… like kwamba tunatambua gharama za vitu zitapanda hivyo serikali imechukua hatua 1 2 3 ikiwemo na kupunguza VAT kutoa 18% hadi 10% ili wananchi wasiumie kutokana na gharama kupanda; Rais mwenye akili ndio anaongea hivo na wananchi: huyu wetu anaropoka bila kujua wananchi wana burden gani kwa sasa
Hana solution wala comfort - Nina wasiwasi , I am doubting about this old woman , inawezekana anatumika kuliharibu taifa, it is not normal as a president to behave like that :
kuna kitu hakipo sawa - wapo maraisi ambao ni ma agent -
Imagine , CAG report , billions of USD zimeingia kwenye mikono ya watu : Accountability ya Rais ni next time tuwataje ili waone aibu- Guys this old woman is being used …. Pay attention mta notice … Rais Hana uchungu na chochote kwenye nchi yake .
Mda wa Rais umebaki 3 miaka tu na Hana maono hadi sasa
I advice Samia achunguzwe, things are not okay
Dr Megalodon Mushi
Canada
JK na Emerson wa Zimbabwe (sio ya muhimu) are military trained individually who excelled in the discipline of STOICISM at the cadet level, So everything else are the result of the system they built over 20 years. Kama unaweza toa amri na ishara zote kwa Tpd na Ti Ai esi Kwamaana hata ungekua wewe mkuu ungetembea na hiyo flow iwe isiwe, Cha kushangaza sasa ni kwamba Hata Taifa pamoja na Waganga na prayer Warrior 😄 tumeshindwa chochote kwake basi his devil is real god.Tatizo la nchi yetu wala sio Samia , huyu yupo kama kivuli tu. Tatizo letu kuu tunalisahau na linaonekana wazi , tatizo letu kuu ni JAKAYA M KIKWETE .
JK ndio alimuweka pale Samia tena Kila mmoja aliona wazi, kifupi CCM ni JK na JK ndio CCM yenyewe .
Huyu ndiyo tatizo letu na mpaka sasa kashatushinda maana yupo Kila sehemu na ana vibaraka wengine kama sisimizi na wazalendo wachache wanaotaka kumuangusha wanadondoka huku wananchi tukibaki kimya hatuna cha kufanya.
JPM alilalamika wazi kuna mstaafu hataki kustaafu anawashwawashwa, JK kashafanya attempt nyingi kwa magu kuwa pupet wake lakini alishindwa, chuma kama JPM kilitaka kufanywa pupet jiulize je kwa huyu bibi itakuaje?
All in all Mimi ninayeandika hapa na wewe unayesoma hapa mpaka sasa sisi technically ni watumwa au vibaraka wa JK .
Maana pote kapashika yeye na yaliyopewa dhamana yamekuwa majinga kwake sio TPDF ,TISS na vyombo vingine vyote their JK puppet.
Wapo wengi , hata akiondoka wataibuka wengine kuuliza kabla yake nchi ilikuwa salama na baada ya kuingia Magu ambaye wako tofauti je kulikuwaje ?Hoja nzito hii,
Mimi binafsi namlaumu Mzee wa msoga, kwa nafasi yake aliweza kutuepusha kama nchi na hilo tatizo ila naona Sasa ndio mnufaika mkubwa wa ujinga anaofanya huyo kimama kinachojiita raisi.
Mzee wa msoga amekua mbinafsi, mlafi, asietosheka na matatizo anayowasababishia watanzania kila siku.
Mzee wa msoga ni mti mkubwa wa mbuyu ambao umeficha mafisadi, majambazi , matapeli, wachawi, majini n.k wanaonyonya watanzania na rasilimali zetu bila huruma.
Siku huo mti wa mbuyu utakapokatika au kukatwa na kudondoka hayo matakataka yote yaliyojificha kwa kutumia yeye yatakimbia hapa nchini.
Acha kabisa kuwaingiza mama wa wengine kwenye mijadala isiyowahusu. Wewe mamako kakuwezesha kitu gani cha maana zaidi ya kukufunza kuwa chawa mlamba makalio ya wapumbavu waliovaa sare za kijani?Umeandika upumbavu mtupu. Mama yako mzazi anaweza hata kuongoza familia yake? Angekuwa anaweza usingekuwa mtu mpuuzi.
kumbe kuna wajinga wengi kama wewe daahUwez
Uwezo wako wa kujadili na kuelewa mambo ni mdogo mno,umejaa chuki na ujinga