Ni wazi kuwa Nchi kwa sasa haipo kwenye mikono salama

Nitolee upumbavu hapa. Rais Mama Samia sio mama wa wengine? Kuweni na heshika kama hamtaki mama zenu kuguswa.
Daah nyie watu wa aina hii ya uelewa ni mzigo kwa taifa.

Iko hivi, Samia kweli ni mama. Ana watoto akina Wanu, Abdul na wengine ambao mimi siwafahamu kwa sasa.

Ila tofauti ya Samia na mama yangu, au mama yako (kama siyo mtoto wake) ni kwamba yeye Samia ana beba au amebeba dhamana ya maisha ya watu takribani milioni70 (wananchi wa Tz).

Kwahiyo anavyo jadiliwa ni kwa sababu ya msingi huo. Ameshaonyesha udhaifu wa kuwa kiongozi mkuu wa nchi zaidi ya mara moja tena kwa mambo nyeti yenye mustakabali wa kizazi hiki na vizazi vingi vijavyo.

Sasa kwa mustakabali wa kizazi hiki na vizazi vingi vijavyo ndiyo maana anakosolewa kwa lugha kali huku mitandaoni na ikibidi ana kwa ana/ hadharani.

CCM pamoja na ufisadi na mapungufu mengine bado mimi binafsi ninaamini wapo watu wenye ueledi na akili na uzalendo kidogo kuongoza hii nchi, tafadhalini mpunzisheni 'mama' kabla mambo hayajaharibika kabisa.
 
Samia aliweka Tozo kwenye kila eneo , Je Barabara zimekamilika ( miaka 6 mfululizo ) , je kuna Bima ya afya kwa wote ? deni la taifa limeongeza mara dufu , , kwenye kuingiza magari nako ameweka tozo, misaada inakuja, mali zinauzwa, watu wanalipishwa kodi kama vichaa, hata ukipaki gari yako nje ya nyumba yako , jamaa wanaskani, madini yanauzwa lakini hakuna kinacho kamilika!, tume ya uchunguzi iliyoundwa na muhalifu kila siku inaongezewa muda ; mpaka sasa tume imetumia zaidi 800Mil - just kukusanya majibu yakiyotengenezwa na Samia mwenyewe
 
Kwenu CCM wenye akili timamu nadhani mnahitaji kujifunza kuwa URAIS Sio kila mtu ; Samia is a bread of shame , hauwezi hata kulika. Kama msipoona umuhimu wa constitution reform na mkadhani hilo ni suala la Wapinzani, basi hatari ni kubwa
 
Imagine , CAG report , billions of USD zimeingia kwenye mikono ya watu : Accountability ya Rais ni next time tuwataje ili waone aibu- Guys this old woman is being used …. Pay attention mta notice … Rais Hana uchungu na chochote kwenye nchi yake .
 
Hakuna jipya. Hizi ngonjera tushazisikia sana mpk zinaboa. Kama mnalo la kufanya basi fanyeni sasa otherwise mtaishia kuimba mapambio weeee tahamaki 2030 hiyo mama anajistaafia zake mwenyewe ni mafao kibao.
 
Atapumzika tu ifikapo 2030
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…