Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
TANZANIA NGUMU SANA KUIONGOZA WATU WAKE WOTE NI MASIKINI WAKIPATA UPENYO LAZIMA WAKUHUJUMU NDIO MAANA NYERERE ALIANZISHA AZIMIO LA ARUSHA ILI KUWATHIBITI VIONGOZISukari bei juu!
Umeme mwaka wa 4 leo tokea aingie madarakani ni kero...
hizi ni ndoto za kwenye sofa kwa jirani 🐒Sukari bei juu!
Umeme mwaka wa 4 leo tokea aingie madarakani ni kero!
Miradi ya ki mkakati kama reli ya mwendokasi danadana kila uchwao!
Ufisadi na uzembe kwa Watumishi wa Umma umetamalaki!
Nishati ya mafuta bei juu!
Thamani ya Shilingi ni kupungua thamani kila uchwao!
Mfumko wa bei!
Ajabu, anaendelea kubembeleza Watumishi wa Umma.
Mimi sijaona any flagship project ya awamu ya 6. Ni waoga wa project kubwa kubwa. Hatuwezi kufanikiwa kwa kuogopa kuanzisha project kubwa yenye kutuhitaji kukuna vichwa mara kwa mara.Sukari bei juu!
Umeme mwaka wa 4 leo tokea aingie madarakani ni kero...
ongezea Fry over ya Tazara na UbungoMimi sijaona any flagship project ya awamu ya 6. Ni waoga wa project kubwa kubwa. Hatuwezi kufanikiwa kwa kuogopa kuanzisha project kubwa yenye kutuhitaji kukuna vichwa mara kwa mara.
By 2017(miaka miwili baada ya kuingia madarakani), JPM alikwishaanza;
1. Kuifufua ATCL
2. Renegotiation kwenye mikataba ya uchimbaji wa baadhi ya madini
3. Kuifufua TTCL
4. Ujenzi wa SGR
5. Ujenzi wa JHNPP
6. Ujenzi wa Tanzanite Bridge
7. Ujenzi wa Kigogo Busisi.
JPM hakusema namalizia kwanza za JMK.
Kupitia uongozi wa huyu mama inapaswa iwe fundisho juu ya kuchukulia nafasi ya umakamo wa raisi kwa uzito wake.
Ilishazoeleka kuwa makamo wa raisi anaishia kukata tepe za vyoo katika uzinduzi, akimaliza muda wake anakula pension.
Inapaswa kuanzia sasa atakaeteuliwa umakamo wa raisi awe na upeo na uelewa wa uongozi ili likitokea la kutokea tuwe na raisi wa kweli na sio mauza uza.
Makamo wa Raisi wa ovyo awe yeye wa mwisho.
Leo hii mambo yanakwenda ovyo ovyo sababu ya kosa la kupuuzia dhamira ya hasa ya umakamo wa raisi.
Si Doto Magari yupo? Mtaalam na mshauri wa uchumi.Sukari bei juu!
Umeme mwaka wa 4 leo tokea aingie madarakani ni kero!
Miradi ya ki mkakati kama reli ya mwendokasi danadana kila uchwao!
Ufisadi na uzembe kwa Watumishi wa Umma umetamalaki!
Nishati ya mafuta bei juu!
Thamani ya Shilingi ni kupungua thamani kila uchwao!
Mfumko wa bei!
Ajabu, anaendelea kubembeleza Watumishi wa Umma.
Suzy hakuna Rais hapa ni bomu Tena la kienyeji. Limeaminiwa na wananchi lakini limeishia kuwatelekeza wananchi. Lipo mafichoni mpaka sasa hiviSukari bei juu!
Umeme mwaka wa 4 leo tokea aingie madarakani ni kero!
Miradi ya ki mkakati kama reli ya mwendokasi danadana kila uchwao!
Ufisadi na uzembe kwa Watumishi wa Umma umetamalaki!
Nishati ya mafuta bei juu!
Thamani ya Shilingi ni kupungua thamani kila uchwao!
Mfumko wa bei!
Ajabu, anaendelea kubembeleza Watumishi wa Umma.
Nchimbi naye anasema watumishi wa umma wasidharirishwe;yaani Makonda kuwataka Watumishi wajibu kero za Wananchi ni kuwadharirisha!Sukari bei juu!