Ni wazi Rais Samia kazidiwa ujanja na aliowaamini

Ni wazi Rais Samia kazidiwa ujanja na aliowaamini

Sukari bei juu!

Umeme mwaka wa 4 leo tokea aingie madarakani ni kero!

Miradi ya ki mkakati kama reli ya mwendokasi danadana kila uchwao!

Ufisadi na uzembe kwa Watumishi wa Umma umetamalaki!

Nishati ya mafuta bei juu!

Thamani ya Shilingi ni kupungua thamani kila uchwao!

Mfumko wa bei!

Ajabu, anaendelea kubembeleza Watumishi wa Umma.
Sichangii mambo ya ovyo yaliyoandikwa na watu wa ovyo Wabwabwajaji kama wewe. Kazi iendelee.
 
Back
Top Bottom