Ni wazi reli za Arusha na Tanga walirekebisha kutumia kodi yetu ili kujifanyia kampeni maana treni hatuzioni na sasa zimekuwa kero za faini za trafiki

Mwambie Mbowe naye arekebishe na ajifanyie kampeni. Utopolo mtupu. Kipondo kipo palepale, Magufuli Babalao.
 
Umemaliza mkuu kunywa pepsi kwa mangi bili yangu
 
Uo ni wizi. Utaratibu kama train inakatiza barabara huwa kuna mtu maalumu anayesimama barabarani na bendera nyekundu huku akizuia magar pande zote.

Sasa kama hayupo maana yake Train haipo. Uyo asikari ningekutana naye ningemlamba makofi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…