Ni wazi sasa ana vinasaba na sanaa.. Na pengine uwaziri wa sanaa na michezo ndio saizi yake

We jamaa unapaswa uinamishwe ukiwa haujavaa chochote kisha kitu chochote kipitishwe huko unakokuita makalioni kitu hicho kinachopitishwa huko hata kama kikiwa ni mpini wa jembe ni sawa tu
Unatamani yaliyokutokea yamtokee na mwingine ee?!!! Hilo linafanywa kwa ***** tu kama wewe si kwa marijali ndg....I mean, ilikuwa haki Yako tu kufanyiwa hivyo.
 
Hii imekua mbaya sana kiasi cha kujiuliza ina maana nchi nzima hakuna anaweza kumwambia HAPANA miongoni mwao na ikawa HAPANA kweli.

Na kama hali ipo hivi kweli tunathubutu kumpa tena nafasi nyingine tena ndefu kuliko ya sasa?
 
Sema tu watu wa Pwani hawajawahi kabisa kuwa serious kwenye mambo ya msingi. Mifano ni mingi, muda ni mchache. Huwa wanapenda sana kirahisisha mambo! Halafu wengi wao ni wasanii by nature
Lakini ndiyo wanaoishi maisha ya furaha na amani kuliko watu wote Dunia hii. Nini' tuhatafuta duniani basi?!!!! Hasira na kuuana?!!!
 
Kibaya kikijitambua lazima kijitembeza
 
Una hoja, Rais amejizidi na visherehe vya wasanii. Hv anijisikiaje, Rais unakumbatiwa na mvuta bangi? Kila wakati bahasha shida ni nini? Nilikuwa namtetea kiukweli atashinda kwa nguvu ya jeshi kwann Rais ahangaike na petty issues? Rais ni wa kumualika kila sherehe? Kwl mswahili habadiliki Tujikumbushe kwa Mkapa kulikuwa hakuna wasanii, nani angemsogelea Mkapa? Mpuuzi moja anaongea ujinga Rais anacheka. Ningekuwa mshauri wake angeacha tu kugombea, miaka 5 atateseka sana.
 
Mwigulu alitakiwa kufukuzwa sk nyingi, Makame Mbarawa naye ni waziri? Au kwa kuwa ni mpemba? Magufuli ndio alikuwa wa hovyo kwanini ampendekeze mgombea mwenza? Jana serikali ilipigwa chini na Lissu atamvua nguo. Mtu km Kabudi hawezi kumsaidia. Tuna waziri gani wa maana. Bashungwa, Ashatu Kijaji, Mkenda kwa uchache wanafanya nini wizarani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ