Ni wazi sasa ana vinasaba na sanaa.. Na pengine uwaziri wa sanaa na michezo ndio saizi yake

Ni wazi sasa ana vinasaba na sanaa.. Na pengine uwaziri wa sanaa na michezo ndio saizi yake

1746595073066.png
 
Promo zote za nini ? yule Mwanakwenda hakuhitaji mapromo yasiyo na kichwa wala miguu alipendwa akapendeka, akiongea nchi nzima ilitikisha, hotuba zake kwenye tv ilikuwa sawa na kuitazama Derby ya Mzizima.. kwa sasa nchi imapatwa ikapatikana..usishangae hata yale mataulo wanaojisitiri wake zetu siku za damu yakachapwa picha yake..
Yeye ndiye alianzisha hivi vikundi sema wamezidiana kete tu
 
Mkuu tunashukuru kwa burudani Murray ya kibao cha "Gere mama" nimecheza wimbo huu usiku huuhuu kama juha hapahapa nilipolala chini kwenye ngozi ya ng'ombe
Hahahaha😀😀😀 nguo ya kuazima haisitiri mwili.. (Makalio)
 
Pale alipokuwa kawekwa kabla ya hapa ilitokea kwa bahati mbaya tena sana! Na kwakuwa ile nafasi ni sawa na joka la kibisa.. Ha tum u we za kuona ombwe! Hatukuweza kuona uhalisia

Baada ya asili kuamua ile ugomvi mkubwa, tukadhani tumesalimika sana.. Kumbe ilikuwa ni sawa na kuruka kubwa kisha kukanyaga kubwa na ndogo kwa mpigo.. Kila mguu na yake moja

Waswahel wanasema.. Pata pesa tukufahamu tabia yako... Tuifahamu sasa.. Tumeijua sasa... Ni bata batani.. Wapambe kila kona
Futuhi kila kona
Shilawadu kila pembe
Karamu kila wakati
Hafla Jumatano hadi jumatano
Zawadi na bakshish.. Aah hilo si la kuuliza tena!
Kina Ndanda Kosovo wote wako
Kina mkono mmoja juu wamo
Msondo ngoma, mipasho ya mipasheni, mdundiko, Mnanda.. Wabana pua...
Tukienda kulewa ni wewe
Tukienda kuchepuka, vikings utamu ni wewe.. Dah🥺
Wanasema hata vifuniko vya asali ni wewe.. Hii kali sasa
Tukienda kuabudu ni wewe
List ni ndefu sana sijui tumebakisha nini sasa.. Labda wazinzi wa wewe😷🏃🏿🏃🏿🏃🏿
Tusishangae siku tukikuta hata dirdo zimepigwa chapa yako!

Wamanyema wana wimbo wao wenye mahadhi ya Pwani unaitwa GERE MAMA.. kwenye mojawapo ya beti za mashairi yake kuna sentence zinasema.. fahari ndiye mama wa ujinga...
Dau lako la mia... Wataka elfu nne... kitenge umeunguza mwenyewe anakitaka!

View attachment 3326521 Huyu saizi yake/dau lake lilikuwa mia.. Ilikuwaje tukampa elfu ine? Ona sasa kitenge kakiunguza..!View attachment 3326522
Mbona wewe una vinasaba vya ulozi ,si uache siasa ukawe mwanga huko Kwa wenzako?
 
Back
Top Bottom