Ni wazi sasa ana vinasaba na sanaa.. Na pengine uwaziri wa sanaa na michezo ndio saizi yake

Ni wazi sasa ana vinasaba na sanaa.. Na pengine uwaziri wa sanaa na michezo ndio saizi yake

IMG-20250509-WA0055.jpg
 
Pale alipokuwa kawekwa kabla ya hapa ilitokea kwa bahati mbaya tena sana! Na kwakuwa ile nafasi ni sawa na joka la kibisa.. Hatukuweza kuona ombwe! Hatukuweza kuona uhalisia....

Baada ya asili kuamua ile ugomvi mkubwa, tukadhani tumesalimika sana.. Kumbe ilikuwa ni sawa na kuruka kubwa kisha kukanyaga kubwa na ndogo kwa mpigo.. Kila mguu na yake moja

Waswahel wanasema.. Pata pesa tukufahamu tabia yako... Tuifahamu sasa.. Tumeijua sasa... Ni bata batani.. Wapambe kila kona
Futuhi kila kona
Shilawadu kila pembe
Karamu kila wakati
Hafla Jumatano hadi jumatano
Zawadi na bakshish.. Aah hilo si la kuuliza tena!
Kina Ndanda Kosovo wote wako
Kina mkono mmoja juu wamo
Msondo ngoma, mipasho ya mipasheni, mdundiko, Mnanda.. Wabana pua...
Tukienda kulewa ni wewe
Tukienda kuchepuka, vikings utamu ni wewe.. Dah๐Ÿฅบ
Wanasema hata vifuniko vya asali ni wewe.. Hii kali sasa
Tukienda kuabudu ni wewe
List ni ndefu sana sijui tumebakisha nini sasa.. Labda wazinzi wa wewe๐Ÿ˜ท๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ
Tusishangae siku tukikuta hata dirdo zimepigwa chapa yako!

Wamanyema wana wimbo wao wenye mahadhi ya Pwani unaitwa GERE MAMA.. kwenye mojawapo ya beti za mashairi yake kuna sentence zinasema.. fahari ndiye mama wa ujinga...
Dau lako la mia... Wataka elfu nne... kitenge umeunguza mwenyewe anakitaka!

View attachment 3326521 Huyu saizi yake/dau lake lilikuwa mia.. Ilikuwaje tukampa elfu ine? Ona sasa kitenge kakiunguza..!View attachment 3326522
Bi. Mkora hivyo vyeo mmnavyompa hakuna hata kimoja kinamtoshea, kuweni na huruma jamani! Huyu size yake I kuhesabishwa nabati hakuna nyingine anaweza!
 
Back
Top Bottom