Ni wazi sasa ana vinasaba na sanaa.. Na pengine uwaziri wa sanaa na michezo ndio saizi yake

Yeye ndiye alianzisha hivi vikundi sema wamezidiana kete tu
 
Mkuu tunashukuru kwa burudani Murray ya kibao cha "Gere mama" nimecheza wimbo huu usiku huuhuu kama juha hapahapa nilipolala chini kwenye ngozi ya ng'ombe
HahahahaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nguo ya kuazima haisitiri mwili.. (Makalio)
 
Mbona wewe una vinasaba vya ulozi ,si uache siasa ukawe mwanga huko Kwa wenzako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…