Ni wazi sasa Polepole yuko kwenye mapambano rasmi

Wajumbe walitangulizwa na baiskeli ya mbao huku wanamtandao wakitumia chopa.
October tunatiki
Izo baiskeli wanapewa wajumbe tu sio wananchi ivyo sio Rushwa kisheria lengo kuu ili wajumbe wapate wepesi kutimiza majukum yao yakichama.

Chama cha Mapinduzi daima milele kazi na utu tunasongambele. October 28 tunatiki โœ…๏ธ asubui asubui
 
Sasa kama Mshana Jr mleta mada nae ni walewale tutafika kwenye nchi tunayoizungumza kila siku?
Mshana hana mke ajitoe tuu.
 
Wakat wengine wanawekewa ubongo we ukawekewa utoko kichwani, Ona unavodharilika sasa.
Punguza kuchukia ndugu pole lkn tunaomba ushilikiano October 28 tunatiki asubui asubui โœ…๏ธ
 
Mzee kajipanga vzr sana atawaua taratibu.leo hata rais kwenye kikao na jumuiya za kiislamu hana raha zaidi kufarijika na maneno ya mashekhe kumpa moyo
Kwani Kuna kikao?
Mbona sisi wengine hatuna mwaliko?
 
Nilimsikiliza Polepole akiongea zaidi ya miaka kumi iliyopita baada ya Uchaguzi
Nilimlaumu sana kwa kitendo chake hicho.

Hivi sasa namsilikiza Polepole akiongea lakini safari hii kawahi kabla ya Uchafuzi
Nampongeza sana kwa kitendo chake hicho.

Kila akiongea nafuatilia kwa makini sana lugha yake ya mwili au body language
Asante Polepole nakupa 100% kwa vyote viwili.

Kama kawaida kwa baadhi ya Watanzaia anachoongea Polepole kwa wenye uelewa mdogo ni kama vile anawapigia mbuzi ngoma.

Kwa Watanzania wazalendo anayoongea Polepole ni sahihi na namshukuru kwa ujasiri, utulivu na hekima inayomuongoza kuyasema.
 
Polepole sasa hivi unanikosha kwa hoja maridhawa (Kuntu) with facts. Sasa hivi umemshika mama kile kidude chake, king'ang'anie hadi akojoe. Akishupaza shingo king'ang'anie hadi ung'oke nacho
 
Polepole sasa hivi unanikosha kwa hoja maridhawa (Kuntu) with facts. Sasa hivi umemshika mama kile kidude chake, king'ang'anie hadi akojoe. Akishupaza shingo king'ang'anie hadi ung'oke nacho
๐Ÿฅบ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ
 
Inaonekana kulikuwa na watu (na bado wako) ''ndani ya system'' wakishiriki kila kitu lakini wakiwa na malengo mengine. Hapa kuna kazi kubwa sana.... kwa pande zote... Hata ''uchaguzi'' ukipita, kunaweza kutokea ''maajabu'' ambayo yataibadilisha Tanzania moja kwa moja. Binafsi siamini kuwa ''mama' hata akivuka kwenye haya maigizo ya Oktoba, atamaliza muda wake.
 
Wabongo uwa wanapenda mtu awapambaninie kama anavyofanya chadema, lisu , polepole. Wenyewe kujisimamia hawawezi. Kuingia barabaran wameshindwa msituni wataweza

Ats viongoxi wakiuza nchi mbongo hawez kujisimamia. Polepole anapoteza muda wake. Kama alikua anazani akiongea ayo yte ata wahamasisha watanzania basi kakosea labda wakenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ