Ni wazi sasa Polepole yuko kwenye mapambano rasmi

Unaandika kama Tanzania ni mali ya Genge lenu? "Point of no return", says who; kichaa kama wewe?
Halafu unavyo jionyesha ni jinsi gani ulivyo chizi, unadhani kila mtu hana akili za kujuwa kwa nini CHADEMA hawashiriki upumbavu.

"...unatamani hatua kali zichukuliwe" na nani; hao hao mafisadi wanaokufuga wewe! Unayo akili timamu kweli?
 

Ni wakati zitafutwe njia za kuwafanya wajutie uharibifu wanao usababisha kwa ushiriki wao kwenye hujuma hizi
 
Mazingira yanaonyesha Pole Pole atapuuzwa. Nchi hazicollapse mpaka pale wananchi washindwe kabisa kumudu maisha au maslahi ya wanajeshi yasipoangaliwa. Yote hayo hayapo Tz kwa sasa.
Unajipa matumaini feki.
Nani kakwambia kuna 'model' maalum zinazopaswa kufuatwa na kila nchi kuleta mabadiliko?
 
Sasa ndugu yangu una panic nini? Kwani CHADEMA iliwahi kushiriki mara ngapi na kupata majimbo kama Mikumi, Mbeya mjini, Kawe, Ubungo, Kibamba, Arusha Mjini, Hai, Moshi mjini, na mengine mengi haikuwa Tanzania hii?

This time imekataa kushiriki ulitaka waingizwe kwa pingu? Sasa unadhani uchaguzi utasimama wakati kampeni ni keshokutwa? Hii imeenda. Vumilia tu. Pia kuwa na ngozi ngumu, mnalilia uhuru wa maoni halafu hamuwezi kuvumilia hoja tofauti! Vobweka gizani. #Point of no return...
 
Unajuwa maana ya neno 'panic', au unalitumia tu uonekane unajuwa kitu wakati hujui lolote!

Wewe unaishi wapi hadi wakati huu hujui ililikuwakuwaje CHADEMA wakaweza kuambulia hicho unachosema walipata walipo shiriki? Unataka nianze tena kukufundisha hayo matokeo yalipatikana kwa namna gani?

Kwa nini unataka kila mara watu waumizwe, wauliwe kwa jambo ambalo linawezekana kwa kutumia njia za HAKI tu kwa kila mshiriki?

Na kuonyesha ulivyo mbovu kifikira, bado unang'ang'ania CHADEMA wamekataa!
 
Kwa nini unataka kila mara watu waumizwe, wauliwe kwa jambo ambalo linawezekana kwa kutumia njia za HAKI tu kwa kila mshiriki?📌🔨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…