Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Ninaomba kufahamu Waziri wa Fedha aliyewahi kukopa sana toka tupate uhuru.
Tupate pia na historia ya Waziri wa Fedha aliyekopa kidogo sana.
Tufahamu kwanini huyo aliyekopa sana alikubaliwa akaaminiwa akakopeshwa sana, na huyu aliyekopa kidogo alitumia mbinu zipo kuendesha serikali na miradi ya maendeleo.
Ni Waziri gani wa Fedha aliyekuwa na Sera za Kiuchumi ambazo ni sound na yupi Sera zake hazikueleweka.
Unadhani kwa sasa tunahitaji Waziri wa Fedha wa aina gani kukabiliana na msukosuko wa kiuchumi uliopo? Je, Sera za aina gani zitatuvusha hapa tulipo?