Ni wazo tu: Wachaga wahamishwe maeneo ya Mlima Kilimanjaro!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,207
Reaction score
13,839
download.jpeg

Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro.

Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka.

Jamaa wanaokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka.

Wahamishwe kwenda Msomera , Kilindi Tanga.

Kama imewezekana Ngorongoro, huku tutashindwa nini?

Wasalaam Aleikhum.

NB
Sitaki matusi.
 
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro.
Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka.
Jamaa wanokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka.
Wahamishwe kwenda Msomora , Kilindi Tanga.

Kama imewezekana Ngorongoro huku tutashindwa nini?
Wasalaam Aleikhum.

NB
Sitaki matusi.
akili zako zina fanana na raisi wako. kwa hiyo kila kabila unataka waondolewe.na wasukuma waondolewa kanda ya ziwa wapewe makampuni ya kuchimba madini au
 
View attachment 3075375
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro.
Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka.
Jamaa wanokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka.
Wahamishwe kwenda Msomora , Kilindi Tanga.

Kama imewezekana Ngorongoro huku tutashindwa nini?
Wasalaam Aleikhum.

NB
Sitaki matusi.
Mmechoka kuitawala hii nchi?
 
Watu wa Meru pia wahamishwe mana kuna mlima meru pale.

Watu wa amboni wahamishwe mana kuna mapango pale.

Watu wa Gambushi wahame mana kuna mji wa kitalii usiku pale.

Mkuu umekula bangi ya wapi.
 
View attachment 3075375
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro.
Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka.
Jamaa wanokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka.
Wahamishwe kwenda Msomora , Kilindi Tanga.

Kama imewezekana Ngorongoro huku tutashindwa nini?
Wasalaam Aleikhum.

NB
Sitaki matusi.
Wanakuja kuangalia hicho kivutio wakisikia hayo unayoyasema hwawezi tena kuja; watakiita Blood Mountain, siyo Kilimanjaro tena. Mwambie Bi Kidude asikie; waarabu hawaji kuona huo mlima
 
Back
Top Bottom