masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
akili zako zina fanana na raisi wako. kwa hiyo kila kabila unataka waondolewe.na wasukuma waondolewa kanda ya ziwa wapewe makampuni ya kuchimba madini auKama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro.
Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka.
Jamaa wanokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka.
Wahamishwe kwenda Msomora , Kilindi Tanga.
Kama imewezekana Ngorongoro huku tutashindwa nini?
Wasalaam Aleikhum.
NB
Sitaki matusi.
🤣🤣🤣akili zako zina fanana na raisi wako. kwa hiyo kila kabila unataka waondolewe.na wasukuma waondolewa kanda ya ziwa wapewe makampuni ya kuchimba madini au
Mmechoka kuitawala hii nchi?View attachment 3075375
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro.
Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka.
Jamaa wanokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka.
Wahamishwe kwenda Msomora , Kilindi Tanga.
Kama imewezekana Ngorongoro huku tutashindwa nini?
Wasalaam Aleikhum.
NB
Sitaki matusi.
Aleikhum wasalaam wa Rahmatullah wa BarkatuhiWasalaam Aleikhum
Ukisha utwika na ukalala nao akili zinakuwa nyingi zaidi!Ushautwika Ugimbi Kama sio Rubisi unakuja kushusha nondo.
Nakubaki mwanangu Maso.
Watu wa Meru pia wahamishwe mana kuna mlima meru pale.View attachment 3075375
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro.
Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka.
Jamaa wanokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka.
Wahamishwe kwenda Msomora , Kilindi Tanga.
Kama imewezekana Ngorongoro huku tutashindwa nini?
Wasalaam Aleikhum.
NB
Sitaki matusi.
Hahaha vijana wa hivyo 😂Nasapoti hoja tusipowatoa haraka wachagga muda si mrefu watawauzia wakenya Mlima wote...halafu ukizingatia hawa watu ndugu zao wengi ni wakenya kuliko hata watanzania
Wanakuja kuangalia hicho kivutio wakisikia hayo unayoyasema hwawezi tena kuja; watakiita Blood Mountain, siyo Kilimanjaro tena. Mwambie Bi Kidude asikie; waarabu hawaji kuona huo mlimaView attachment 3075375