OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Hellow wakuu,
Hili ni swali muhimu sana kwa watu wenye mipamgo mirefu, pia linanufaisha kiuchumi kwa mtu mjanja.
Mfano mwaka 2007 wilaya ya KAHAMA ilikuwa ni wilaya ya kawaida sana maeneo mengi ya pembeni ilikuwa ni vichaka leo hii miaka 15 imepita hakuna tena vichaka ni majumba tu wajanja walioona mbali wakanunua maeneo makubwa leo hii wanauza kwa bei kubwa sana
Je, unadhani ni wilaya gani baada ya miaka 15 itakuwa manispaa? Na ni kwanini unadhani hivyo?
Karibuni