ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nadhani nachingweA na ruangwa ndo itakuwa safi...hata lami ile ya mangaka kwenda ruangwa me sikuikubali...lami ingefaa ipigwe kutoka masasi mpk ruangwaUkisema imegwe na Newala Mtwara itakuwa imeisha. Waichukue Nachingwea na either Liwale au Ruangwa na Nanyumbu. Lindi ni kubwa mno..
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app