Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Wewe ndio nimekushangaa ... Nimesemea tunduma unakuja nahoja za huko kwenu (tunduma) yaani Kila anayetaja sehemu humu kwamba huko ni kwao !!?? Ndio mara unawaambia hakuna Maajabu ..nikakuuliza vizuri tu kwani Sengerema Kuna Nini Kwa sababu naijua vizuri !!? Bado unakuja na hoja za huko kwenu... Hapana sio kweli tukisema twende na tabia hizo za kiukanda bila kufuata vigezo hii nchii itakuwa ya kijinga sana. Hongera Kwa kunielewa.... Ila acheni hizo tabia za kiukanda zitawaharibia Taifa watoto na vijana wenu huko mbeleni.πππ acha kupanic bro kwani sengerema ikiwa manispaa, hutopata ugali wako wa siku.πππ