Ni wilaya gani ambayo unadhani baada ya miaka 15 itakuwa Manispaa?

Hiyo makambako ina nini zaidi ya kulima parachichi na uchawi tu hakuna cha ziada.
Kufikiria kwako si kumeishia hapo endelea kuamini unavoamini ila ujue makambako,tunduma ,mafinga Ni miji ambayo kwa Sasa Ni Moto sana na ujue parachichi kwa makambako Ni zao lililoanza hivi karibuni makambako imekuwa kutokana na biashara na si vinginevyo Kama hujui historia ya sehemu kaa kimya na sengerema yako ambayo Ni sawa na vimiji vinavyo ibuka pemben mwa mji wa makambako Kama ilembula ,nyororo,igowole ,na mtwango
 
kwa watu wenye jicho la uwekezaji hii mada inawafaa sana
 
ngoja na mimi nisemee changu bana [emoji16]. mji mdogo wa himo moshi ningependa sana kuona unakuwa manispaa
 
Ujenzi holela, sisi wabongo huwa tunaita mji umepanuka na kuendelea...
 
Kufikiria kwako si kumeishia hapo endelea kuamini unavoamini ila ujue makambako,tunduma ,mafinga Ni miji ambayo kwa Sasa Ni Moto sana na ujue parachichi kwa makambako Ni zao lililoanza hivi karibuni makambako imekuwa kutokana na biashara na si vinginevyo Kama hujui historia ya sehemu kaa kimya na sengerema yako ambayo Ni sawa na vimiji vinavyo ibuka pemben mwa mji wa makambako Kama ilembula ,nyororo,igowole ,na mtwango
Sengerema huwezi kuifananisha na vitu vya kijinga ata siku moja.
 
Bagamoyo Itakuwa mkoa Kabisaa! Maana Dar Ishakuwa Ndogo..
 
Back
Top Bottom