Emen
JF-Expert Member
- Jun 22, 2021
- 2,069
- 3,516
michongo ya kukwepa kununua duka la fulani wanayo wachaga tu kule moshi jamaa wana roho mbaya sana wakati mikoa mingine tunawapokea fresh tu
Wengine wanavyoongelea wachaga kwa chuki tu umeenda kuwekeza ukanyimwa eneo au umekuja kutoa stress za kuachwa hapa mbona wasomali wapemba na wahindi wapo na hakuna wakuwabuguzi sema hela huna bwege we.