Ni wilaya gani ambayo unadhani baada ya miaka 15 itakuwa Manispaa?

Mara ya mwisho ulikuwa huko lini.....usiishi kwa kukariri vitu.
Hizo sehemu za kiswahili na umwinyi zinasafari ndevu, nyie endeleeni kulima mihogo na kukaa vibarazani mkiendelea kucheza bao.😂😂😂
 
Wilaya ya mbarali.Inaingiza pesa ndefu kwa ushuru na kodi.pia idadi ya watu ni wengi Sana.
 
Hizo sehemu za kiswahili na umwinyi zinasafari ndevu, nyie endeleeni kulima mihogo na kukaa vibarazani mkiendelea kucheza bao.😂😂😂
Hii tabia wanayo watu wa Lindi mjini wanaojifanya mamwinyi na waarab koko. Kusoma hawataki, kufanya kazi hawataki, kushinda misikitini kusambaza unafki, wao ni kucheza bao tu na kuoa wanawake wakati hawana kazi. Maisha yakiwa magumu wanalalamika kuwa serikali haiwajali kama wazanzibari tu, hawatofautiani.
 
Mtaongoza kwa idadi ya malory yanayoenda nje ya nchi lakini hamuwexi kupata hiyo hadhi mpaka utakapo kufa.😂😂😂
Acha umama kenge wewe ..... Kwa hiyo unashupalia Sengerema Kwa sababu ni kwenu ..mwehu kweli wewe ... Mi nyumbani ni Musoma, Mara na nipo Mwanza kikazi na Sengerema ni eneo nahudumia kutoka ofisi ya mkoa acha ujinga... Huo ni ujinga aliowapandikiza Mwendazake pumbavu kabisa. Unavyta kamba Kwa unyumbani badala ya vigezo mjinga kabisa wewe.
 
😂😂😂 acha kupanic bro kwani sengerema ikiwa manispaa, hutopata ugali wako wa kila siku.😂😂😂
 
Mamsera...
Mkuu mimi niwewaona kwenye huu uzi wanabishania sijui wilaya gani inapaswa kuwa manispaa mara wanataja wilaya za ovyo ovyo nami nikaona nijitajie wilaya moja ya senge rema japo ata siijui na wala sijawahi kufika, naona watu wamejawa mapovu, sasa nilipoona na wewe umeandika wilaya yako ya mamsera japo siijui nikaamua ku😂😂😂
 
Tumeambiwa kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake. Nami nimeamua kujilia vya kwangu kwa kuchagua vya kwetu...
 
Back
Top Bottom