Ni wilaya gani ambayo unadhani baada ya miaka 15 itakuwa Manispaa?

Uzinzi kila sehemu upo kuanzia tunduru,namungo, mnazimmoja mingoyo mpk Lindi town so inategemea na Tabia zako TU km huna kampani na wazinzi Basi hutakuwa mmoja wao

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hahahahah..! Kweli mkuu vipi wakazi wa Masasi hawana ubaguzi mfano umefungua biashara wanaacha kununua kwasababu ya ubaguzi, na kupigana chuma uelete..?
 
Kabla hawajafika huko kuna majiji yaondolewe hadhi

Arusha

Tanga
Mbeya
 
Unachekesha mbona miaka yote wakulima wa korosho mtwara na Lindi ni maskini wa kutupwa tu.
Umasikini ni janga la kitaifa ila linganisha hali ya maisha kati ya vijiji vya mikoa ya kati, kaskazini ulinganishe na vijiji vya mikoa ya kusini utapata jibu mkuu
Nimekaa luangwa na kulima tikiti huko nilichoona huko ni uchawi na uzinzi basi...
Ruangwa kumejaa uchawi sana kama siyo huyo Majaliwa pangekuwa wapi leo hii
Nimewahi kuishi maeneo ya Nanganga hapo, nilikuwa nafanya kilimo cha tikiti ila nilipigwa ni wachawi hatari na uzinzi ndiyo wenyewe.
Hahaha nanganga nilishawahi kufanya project fulani mwaka 2020 hivyo napajua vizuri sana
Kwanza kabisa ndiyo kituo cha maedereva wa malori kuchukua dadapoa, pana kiasi kikubwa cha maambukizi ya VVU
Uchawi ndiyo hatari sasa, nilitafuta chumba nihamie lakini nafsi ikakataa, nilikubali kuchoma nauli kutokea masasi kila siku mpaka nilipomaliza activities zangu
 
Hahahahah..! Kweli mkuu vipi wakazi wa Masasi hawana ubaguzi mfano umefungua biashara wanaacha kununua kwasababu ya ubaguzi, na kupigana chuma uelete..?
Masasi hakuna hayo mambo
Ni mji ambao yeyote anaweza kufanya biashara
Asilimia kubwa ya wakazi wa eneo la mji ni wageni siyo makua wala yao hivyo hakuna hata chembe ya ubaguzi
 
Umasikini ni janga la kitaifa ila linganisha hali ya maisha kati ya vijiji vya mikoa ya kati, kaskazini ulinganishe na vijiji vya mikoa ya kusini utapata jibu mkuu

Ruangwa kumejaa uchawi sana kama siyo huyo Majaliwa pangekuwa wapi leo hii

Hahaha nanganga nilishawahi kufanya project fulani mwaka 2020 hivyo napajua vizuri sana
Kwanza kabisa ndiyo kituo cha maedereva wa malori kuchukua dadapoa, pana kiasi kikubwa cha maambukizi ya VVU
Uchawi ndiyo hatari sasa, nilitafuta chumba nihamie lakini nafsi ikakataa, nilikubali kuchoma nauli kutokea masasi kila siku mpaka nilipomaliza activities zangu
Wachawi hatari sana..!
 
Unachekesha mbona miaka yote wakulima wa korosho mtwara na Lindi ni maskini wa kutupwa tu.
mkuu watu wa dar ndio wanazungusha pesa ya korosho kule so pesa inatolewa dar inapelekwa kule kuna mfumo unaitwa kangomba kipindi magufuli alivyopiga pini korosho nikawa naona watu wengi bar wanalalamika kuhusu kuharibiwa dili hapo ndio nikajua biashara ya korosho ilikua kubwa kiasi gani
 
Masasi hakuna hayo mambo
Ni mji ambao yeyote anaweza kufanya biashara
Asilimia kubwa ya wakazi wa eneo la mji ni wageni siyo makua wala yao hivyo hakuna hata chembe ya ubaguzi
michongo ya kukwepa kununua duka la fulani wanayo wachaga tu kule moshi jamaa wana roho mbaya sana wakati mikoa mingine tunawapokea fresh tu
 
mkuu watu wa dar ndio wanazungusha pesa ya korosho kule so pesa inatolewa dar inapelekwa kule kuna mfumo unaitwa kangomba kipindi magufuli alivyopiga pini korosho nikawa naona watu wengi bar wanalalamika kuhusu kuharibiwa dili hapo ndio nikajua biashara ya korosho ilikua kubwa kiasi gani
Okay! Ila sasa watu huko bado ni masikini sana..!
 
Back
Top Bottom