OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Tunduma wanaichelewesha tu,hadhi yake ilishafika Siku nyingi.Nzega
Igunga
Tunduma
Hanang
Mkuu assume miaka 15 mbeleTunduma wanaichelewesha tu,hadhi yake ilishafika Siku nyingi.
Hanang bado sana.
Hapo kwenye Nzega nakubaliana na wewe,Nzega
Igunga
Tunduma
Hanang
Wilaya ya Sengerema.Sema mji, wilaya nzima haiwezi kuwa manispaa.
Inafaa iwe hata mkoa imegwe nachingweA,nanyumbu kdg,newalaMasasi
Katibu BR BAR Mkuu weekend ijayoJapo sijatembea wilaya yingi Ila kwa kule Kusini hakuna wilaya iliyo juu zaidi ya Masasi.. So can say that Masasi is among of the best district for now
Ipo maeneo gani hii Bar..?
Soko la tandale unalijua Basi upande wa kushoto Kama unakuja ndanda...baada ya kibo kuungua Moto hii ndo Sasa Ina kick masasiIpo maeneo gani hii Bar..?
Oooh kumbe, Masasi nafahamu maeneo machache tu sijazunguka kiviiiile, Mkuti, jida,kaumu, Uwanja wa fisi Mkomaindo, Mbuyu(Huku ndo makao makuu ya Wilaya, sehumu zingine nimepita but sizifahamu kwa MajinaSoko la tandale unalijua Basi upande wa kushoto Kama unakuja ndanda...baada ya kibo kuungua Moto hii ndo Sasa Ina kick masasi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ukisema imegwe na Newala Mtwara itakuwa imeisha. Waichukue Nachingwea na either Liwale au Ruangwa na Nanyumbu. Lindi ni kubwa mno..Inafaa iwe hata mkoa imegwe nachingweA,nanyumbu kdg,newala
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
NakaziaMasasi
Tunduma
Njombe
Ifakara
Hizo ni kwa uchache, ngoja waje waendelee kutuoa muongozo.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app