Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Wewe ndio nimekushangaa ... Nimesemea tunduma unakuja nahoja za huko kwenu (tunduma) yaani Kila anayetaja sehemu humu kwamba huko ni kwao !!?? Ndio mara unawaambia hakuna Maajabu ..nikakuuliza vizuri tu kwani Sengerema Kuna Nini Kwa sababu naijua vizuri !!? Bado unakuja na hoja za huko kwenu... Hapana sio kweli tukisema twende na tabia hizo za kiukanda bila kufuata vigezo hii nchii itakuwa ya kijinga sana. Hongera Kwa kunielewa.... Ila acheni hizo tabia za kiukanda zitawaharibia Taifa watoto na vijana wenu huko mbeleni.πππ acha kupanic bro kwani sengerema ikiwa manispaa, hutopata ugali wako wa siku.πππ
Ruangwa ni pazuri wewe, Ruangwa ni "angavu" ni kipindi kifupi tu kwa mwaka ndio palikuwa pananyata, uwezi palinganisha na Chato, ambayo ilikuwa inajengwa kwa nguvu za kutoka sehemu zingine, Ruangwa ni ya Korosho, ufuta na madini pia.Hapana tofauti na chato panakuzwa tu kisa pm katokea huko..siku akikaa benchi huwezi pasikia huko..pamenyata sana.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujui kama pato la taifa linalotokana mazao ya kilimo 62% inatoka mikoa iliopo kusini mashariki mwa Tanzania, huo umwinyi unaojua wewe ni wa kukaririshwa.Hizo sehemu za kiswahili na umwinyi zinasafari ndevu, nyie endeleeni kulima mihogo na kukaa vibarazani mkiendelea kucheza bao.[emoji23][emoji23][emoji23]
Chato pia kuna madini..mbuga ya wanyama..ziwa .Ruangwa ni pazuri wewe, Ruangwa ni "angavu" ni kipindi kifupi tu kwa mwaka ndio palikuwa pananyata, uwezi palinganisha na Chato, ambayo ilikuwa inajengwa kwa nguvu za kutoka sehemu zingine, Ruangwa ni ya Korosho, ufuta na madini pia.
KyelaHellow wakuu,
Hili ni swali muhimu sana kwa watu wenye mipamgo mirefu, pia linanufaisha kiuchumi kwa mtu mjanja.
Mfano mwaka 2007 wilaya ya KAHAMA ilikuwa ni wilaya ya kawaida sana maeneo mengi ya pembeni ilikuwa ni vichaka leo hii miaka 15 imepita hakuna tena vichaka ni majumba tu wajanja walioona mbali wakanunua maeneo makubwa leo hii wanauza kwa bei kubwa sana
Je, unadhani ni wilaya gani baada ya miaka 15 itakuwa manispaa? Na ni kwanini unadhani hivyo?
Karibuni
Mkuu nataka kujichimbia masasi na duka la vipodozi vipi apoMasasi hakuna hayo mambo
Ni mji ambao yeyote anaweza kufanya biashara
Asilimia kubwa ya wakazi wa eneo la mji ni wageni siyo makua wala yao hivyo hakuna hata chembe ya ubaguzi
Haitokuangusha mkuuMkuu nataka kujichimbia masasi na duka la vipodozi vipi apo
Hapa naunga mkono, ingawa watu wa kusini kulisikia hata jina Katoro inawezekana bado sana ila pamechanganya sanaKijiji Cha Katoro